Balozi Joy Mukanyange: Alichokiona, Watanzania Hatukukiona

Kabonde,

Hata mimi napenda mabadiliko. Sina ninayemchukia. Naipenda sana nchi niliyozaliwa, na niliyoyaandika ni fikra zangu huru. Nimesukumwa kuandika kutokana na mapenzi yangu kwa nchi niliyozaliwa. Kama hilo ni kosa, nitaendelea kulifanya.

majjid, umeulizwa hivi: HEBU TUTAJIE NANI WANAHUBIRI SUALA LA UDINI? HEBU TOA EVIDENCE... USITOE MANENO YA JUMLAJUMLA KAMA wengineo tuwasikiao
 
Maggid Kaamua kufurahisha genge hana mpya . Hakuna mageuzi yasiyokuwa na pain. Soma historia walio mbele kimaisha kama China,Urusi,Marekani,Uk . Ni hali ya kawaida sana kutofautiana kipindi watu wa jamii moja wanapotafuta uelekeo ulio sahihi. Maggid kunywa serengeti 2 ulale
 
Back
Top Bottom