Ballali's fresh 'medical bill' twist

Kama kilichoandikwa ni sahihi, kiasi kinachodaiwa kinatokana na nursing services alizopatiwa Balali nyumbani kwake hadi anakutwa na mauti baada ya kutoka hospitalini. Na kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Balali aliandika barua ya kuresign kabla rais hajatengua uteuzi wake wa ugavana. BOT inawajibika vipi kulipia hizo nursing services? Lakini pia baada ya vyombo vya habari kutoa taarifa kuwa Balali kaenda kutibiwa Marekani, alipoulizwa waziri wa fedha Meghji alisema hana taarifa na jambo hilo. Kwa taratibu za kawaida, kabla ya kuondoka lazima kuna mtu aliyekaimishwa nafasi hiyo. Nani anayeteua mtu wa kukaimu nafasi hiyo sijui, lakini kitu ninachokifahamu kwa hakika ni kuwa miongoni mwa watu waliojulishwa uteuzi huo waziri wa fedha ni miongoni mwao. Ni vipi waziri huyo hakujua kuwa gavana wake wa benki kuu yuko nje kwa matibabu? Kukanganya mambo huku ndiko kunafanya watu wengine waendelee kuamini kuwa Balali yu hai!
 
Changa lingine la macho hilo; endeleeni kupoteza muda wenu kulijadili. Habari za Ballali zinatolewa kidogo kidogo kama njia ya kuwadanganya Wadangayika.

Hapa nafikiri wanataka kuonyesha hakuwa na pesa hata za kulipia matibabu; hakuwa fisadi.

Kama wanadaiwa si wauze hizo nyumba zake alizonunua kwa pesa za maskini wa Tanzania. Hao waliogawana hizo nyumba wachange kulipia hiyo bill ya kutunga maana hizo pesa ni kidogo sana ukilinganisha na nyumba walizoachiwa.

Kuna watu wako kazini katika kuvujisha habari kidogo kidogo. Hawa hawataki ukweli ujulikane bali wanataka kutudanganya. Badala ya kutudantganya sisi; muhimu watuambie Ballali kajificha wapi? Hii kuzika kisiki ni danganya toto; uliona wapi hata padre haoni maiti?
 
Kama kilichoandikwa ni sahihi, kiasi kinachodaiwa kinatokana na nursing services alizopatiwa Balali nyumbani kwake hadi anakutwa na mauti baada ya kutoka hospitalini. Na kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Balali aliandika barua ya kuresign kabla rais hajatengua uteuzi wake wa ugavana. BOT inawajibika vipi kulipia hizo nursing services? Lakini pia baada ya vyombo vya habari kutoa taarifa kuwa Balali kaenda kutibiwa Marekani, alipoulizwa waziri wa fedha Meghji alisema hana taarifa na jambo hilo. Kwa taratibu za kawaida, kabla ya kuondoka lazima kuna mtu aliyekaimishwa nafasi hiyo. Nani anayeteua mtu wa kukaimu nafasi hiyo sijui, lakini kitu ninachokifahamu kwa hakika ni kuwa miongoni mwa watu waliojulishwa uteuzi huo waziri wa fedha ni miongoni mwao. Ni vipi waziri huyo hakujua kuwa gavana wake wa benki kuu yuko nje kwa matibabu? Kukanganya mambo huku ndiko kunafanya watu wengine waendelee kuamini kuwa Balali yu hai!

Hivi unawaamini hawa (Chama Cha Mafisadi)?? Hivi kama kweli alikwenda nje ya nchi bila taarifa ilikuwaje asifukuzwe kazi?? Najua kuna sheria ambayo kama huendi kazini kwa kipindi flani bila taarifa then unajifukuzisha kazi mwenyewe. Sasa kwa nini hii sheria haikutumika kwa huyu jamaa. Na kama alikuwa amechua likizo ilikuwaje mwajili wake asifahamu???

Kwa vile walituficha kila kitu kuhusu ugonjwa na kifo cha Balali kwa kisingizio kuwa ni mambo ya kibinafsi, sasa kwa kuwa wanataka pesa za walala hoi wa Danganyika hivyo itabidi tujue zinaenda kulipia nini. Haitakuwa busara kwa serikali kutumia pesa za walalahoi kwa kulipia bili za Balali kwa vile serikali alishasema haikuwa na habari kuhusu kuondoka kwake kwenda nje ya nchi kwa matibabu, kuumwa kwake mpaka mauti yalipomkuta (kama ni kweli)!!!
 
Whether sources are from BOT or family is not an issue but the main issue here is that the late governor deserve all rights including free medical bills. For your information, those who killed Ballai are the ones who are not ready to see some details coming out because they though that they have buried the truth.

But the truth is what they did only helped them to survive in a short term not in long run. Let the truth continue to come out and one day we shall have the clear version of how and why the former governor died controversially. My brother Mwanakijiji has a very good analysis about this issue
 
yah as former BOT Governor he was entitled for medical service as well as his wife!! so i dont understand why BOT is creating DRAMA!!!
 
Back
Top Bottom