Ballali Anyang'anywa Viza ya Marekani & Wengine Wasema Tayari Keshakimbilia Malta !

US revokes visa for former Tanzania c.bank chief
Wed 16 Jan 2008, 13:37 GMT

[-] Text [+] NAIROBI (Reuters) - The United States said on Wednesday it had revoked former central Bank of Tanzania (BOT) governor Daudi Ballali's visa to the United States, saying he was no longer a government official after being fired last week.

Tanzanian President Jakaya Kikwete sacked Ballali over an irregular 133 billion Tanzania shillings payment made out of BOT's External Payment Arrears account to 22 companies. Kikwete appointed Benno Ndulu to replace him.

"The United States Government has informed the Tanzanian government that it is revoking ... Ballali's visa because he no longer represents Tanzania," the U.S. Embassy in Tanzania said in a statement.

Kikwete also ordered a freeze on payments out of External Payment Arrears until a probe was complete into the dubious payments, made in 2005 using flawed or non-existent records.

It was not clear if Ballali is currently in the United States, but Tanzanian media reported in December that the former governor had gone there for treatment.

"Because of the termination of his service, he no longer represents the government and is no longer eligible for his current non-immigrant visa status," the U.S. statement said.

Fighting graft has been among Kikwete's top priorities since he came to power in late 2005. Last year parliament passed a tougher anti-graft law targeting government procurement among other areas.

http://africa.reuters.com/business/news/usnBAN649058.html
 
Mimi nauliza kama kuna mwenye majibu ya kesi ya Prof.Mahalu imeishia wapi ? Ama yeye ni mwanamtandao na Babali hakuwa ?Maana TZ longo longo kibao watu kujizoelea ujiko
 
Visa inaweza ku-be revoked ni rahisi in one way but could be tricky too if the subject Balali anajua sheria za uhamiaji hapa marekani. Kwa issue ya Balali watu wa State Department ambao ndio wanatoa policy kuhusu visas wanaweza kuwa wameombwa na serikali yetu kupitia ubalozi wa maekani Dar ili State department wa revoke Visa yake. And this could be a posibility. Sasa kama ni hivyo then this is what could follow; na nukuu idara ya Homeland security document

When we determine that a visa should be revoked, we prepare a revocation certificate and a revocation cable to the embassy or consulate where the visa was issued. The certificate is the official document revoking the visa. The Deputy Assistant Secretary for Visa Services signs the revocation certificate. The cable to the post contains the language of the revocation certificate and instructs the consular officer to attempt to call the visa holder in so that the revoked visa can be physically canceled.

The Department of Homeland Security through its Visa Office to revoke a Visa and then works closely with its partners in the revocation process to make sure that the fact that a visa has been revoked is disseminated to those in other agencies who may need to carry out follow-up action. Visa Office immediately sends the cable electronically to the appropriate post as well as to FBI and to Immigration and Customs Enforcement within Department of Homeland Security. At the same time, Visa Office emails the revocation cable to the Customs and Border Protection's National Targeting Center and to elements of CBP and ICE within DHS.

Kwa hivyo Visa ya Balali ku be reveoked si ajabu na inawezekana hasa kama ubalozi wa marekani Dar ume-initiate hiyo move kwa kigezo cha tuhuma nzito za rushwa! Na inakuwa rahisi kama Balali category ya visa yake ilikuwa ni G-4 (kwa vile alikuwa mwajiriwa wa IMF or WB na alikuja Benki Kuu on secondement) then it is even more easier.

La mwisho ni kuwa this is America na ukiwa na pesa you can get the best lawyer money can get na ukapeta. Ufisadi wa pesa huku is real, sisi tusiokuwa nazo ndio tutabaki kulalama, hii ni nchi ya wenye pesa na kama Balali alizivuta hizo seven figures in $$ then Dua la Kuku .... utajazia mwenyewe! ALUTA CONTINUA
 
Visa inaweza ku-be revoked ni rahisi in one way but could be tricky too if the subject Balali anajua sheria za uhamiaji hapa marekani. Kwa issue ya Balali watu wa State Department ambao ndio wanatoa policy kuhusu visas wanaweza kuwa wameombwa na serikali yetu kupitia ubalozi wa maekani Dar ili State department wa revoke Visa yake. And this could be a posibility. Sasa kama ni hivyo then this is what could follow; na nukuu idara ya Homeland security document

Kwa hivyo Visa ya Balali ku be reveoked si ajabu na inawezekana hasa kama ubalozi wa marekani Dar ume-initiate hiyo move kwa kigezo cha tuhuma nzito za rushwa! Na inakuwa rahisi kama Balali category ya visa yake ilikuwa ni G-4 (kwa vile alikuwa mwajiriwa wa IMF or WB na alikuja Benki Kuu on secondement) then it is even more easier.

La mwisho ni kuwa this is America na ukiwa na pesa you can get the best lawyer money can get na ukapeta. Ufisadi wa pesa huku is real, sisi tusiokuwa nazo ndio tutabaki kulalama, hii ni nchi ya wenye pesa na kama Balali alizivuta hizo seven figures in $$ then Dua la Kuku .... utajazia mwenyewe! ALUTA CONTINUA

Hapa serikali ya Kichaka inajaribu kumuokoa kipenzi chake Kikwete kwa kujifanya kuwa wanafuta viza ya Balali wakati wanajua kabisa Balali anaweza kufaiti hii case na akakaa hapa US for a long time.

Shauri zao ngoja wakuze hii case, jamaa akianza kuropoka na kuonyesha kile kinachomsubiria bongo mbona media itawaka moto?
 
Honestly, I don mind kama Balali atakamatwa. Nachojali ni hao waliopokea huo mchuzi mkubwa hivyo.
 
Ku-revoke visa siyo hoja sana.
Kama Balali anayo stori nzima ya ufisadi wa Tanzania; na kama kweli pesa anayo, atafute tu wakili wa uhamiaji mzuri ashughulikie hiyo revocation ya visa. Mengine yatafuata.
 
Hii haijakaa sawa!
Balali soon atatapika kila kitu.. sidhani kama atakaa kimya kama ngamia aliyesomewa albadir!
Poor Tanzania!
 
..inaelekea Wamarekani wame-revoke visa ya Balali bila kuombwa na serikali ya Tanzania!!

..kuna uwezekano Balali, kutokana na wadhifa wa Ugavana, alipewa diplomatic passport na serikali ya Tanzania.

..kinachoendelea hapo ni USA kujiepusha na kuwa kikwazo ktk uchunguzi wa kashfa ya BOT.
 
Baada ya kusoma statement ya ubalozi wa marekani then nimegundua kuwa Balali ana hali ngumu. Itabidi arudishwe bongo kwa vile visa yake alipewa kama mfanyakazi wa serikali na ni tofauti na mtu ambaye alikuwa anaishi marekani kama mfanyakazi au mwanafunzi. Yeye visa yake ni kama mtalii au mfanya biashara au aliyekuja kw matibabu. This means hawezi kumtafuta mwanasheria kumtetea kwa misingi ya visa yake, itabidi aondoke. Unless atumie lophole ya kuumwa daktari aseme inabidi atibiwe miaka miwili au sababu kuwa ana mke Anna Muganda kama yeye ana G-1 visa, au amrudie mkewe wa kwanza ambaye ni rai wa marekani then itakuwa ngoma mbichi!

America has so many legal loophole with regards to immigration, na wengine tunaponea humo humo (tunakula nao sahani moja) kiasi ambacho naona niishie hapa nisije nikajiumbua mwenyewe, kwa vile jinsi ninavyo andika ndo naziona nyiiingi.

Lets wait and see as the ball is in the American Government court, huenda wakam-label Economic Terrorist! wakam-abduct na kumleta bongo ikawa mwanzo wa Mafisadi Rendition Flights!
 
Hii ngoma itawaibukia akina Mramba(aliyekuwa waziri wa fedha), Mgonja(katibu -wizara ya fedha), Lumbanga (aliyekuwa Chief Secretary.. mtu aliyekuwa ana-manage daily activities za Serikali..) C. Apson.. (TISS Director mstaafu) na baba yao Mkapa!
Kama Balali atatapika ukweli wote, basi hawa jamaa wana kazi nzito.

Dizaini.. moja ya makampuni ambayo hayakutajwa kwenye ripoti (kama hayakuondolewa kwa makusudi) ilikuwa front company ya TISS.. maana haieleweki hela zitoke BOT ziingie kwenye kampuni binafsi isiyofanya biashara yoyote then zipelekwe TISS. No wonder Rashid Othman alimfuata Balali huko huko aliko.

I hope JK anajua analolifanya,.. na ataweza ku-handle hii situation kwa umakini!
 
Zalendo halisi,

Nakuhakikishia kuwa kuna loop holes kibao kwenye sheria za marekani (ambazo siwezi kuweka hapa kwa sasa) ambazo Balali anaweza kutumia sasa hivi na akakaa Marekani kwa miaka mingi sana ijayo.

Sasa hivi jamaa wameamua kufanya kila wanachoweza kummaliza huyu baba kwa hiyo the first thing inabidi kufanya ni kuweka story yake kwenye records za NY times na Washington Post. Cha pili ni kuibua kesi kubwa na kupanua wigo wa wizi huu huku akionyesha uhusiano wa karibu wa Kikwete na Kichaka.

Mengine hayo ni juu yake, Tanzania itafaidika sana kama Balali akiamua kutokwenda kuzimu peke yake. Atubu kwa watanzania na aanike wizi wote uliofanyika wakati wa kampeni ya uchaguzi wa 2005 na yaliyofuatia baada ya hapo.
 
Hii ngoma itawaibukia akina Mramba(aliyekuwa waziri wa fedha), Mgonja(katibu -wizara ya fedha), Lumbanga (aliyekuwa Chief Secretary.. mtu aliyekuwa ana-manage daily activities za Serikali..) C. Apson.. (TISS Director mstaafu) na baba yao Mkapa!
Kama Balali atatapika ukweli wote, basi hawa jamaa wana kazi nzito.

Dizaini.. moja ya makampuni ambayo hayakutajwa kwenye ripoti (kama hayakuondolewa kwa makusudi) ilikuwa front company ya TISS.. maana haieleweki hela zitoke BOT ziingie kwenye kampuni binafsi isiyofanya biashara yoyote then zipelekwe TISS. No wonder Rashid Othman alimfuata Balali huko huko aliko.

I hope JK anajua analolifanya,.. na ataweza ku-handle hii situation kwa umakini!

Brutus,

Hii case inazidi kuwa kubwa na kama jamaa wanaitumia state dept ya US kumsakama Balali basi wajue kuwa wanaikuza hii case bila sababu yoyote. Kuna watu wengi sana wamehusika na wizi huu BOT. Kashfa hii inakwenda mpaka mlangoni mwa usalama wa taifa (TISS). Balali inabidi ajue kuwa anacheza na watu hatari sana na inabidi awe kwenye record bora haraka sana iwezekanavyo.

Siku tano zijazo zitakuwa muhimu sana kwa maisha ya Balali na wapenda ukweli na maendeleo halisi ya watanzania.
 
Itakuwa jambo la mbolea akija jibu tuhuma na alikopeleka fedha na aliokuwa nao ktk utumbuaji wa fedha.
Nina wasi wasi wanaweza mlisha sumu ili asije ropoka mambo ambayo yatawahusisha wanaojifanya Tz wameiweka kiganjani
 
Mimi naona inabidi aibue Darwin's Nightmare nyingine 60 minutes haraka iwezekanavyo... Dunia nzima wataiona na sijui JK ataweza vipi kuzima moto wake.
Ukweli utakuja bainika na sidhani Balali ana muda wa kulemaa sasa hivi..
 
Ni bora huyo Balali awataje wote aliokula nao haraka iwezekanavyo au hata akishindwa basi aandike japo email au something ikiwataja wote na pia Waziri Meghji naye ajiuzulu kwa kuwa yalitokea akiwa anaangalia.

-Wembe
 
Isije kuwa wameshampa immunity.. maana Tanzania yetu ya ajabu sana.. Ditopile .. Cold Killer.. yuko huru.. mfanyabiashara... Mahalu -Mwizi.. anapeta tu mtaani.. na zote zilikuwa Hot News!

Maneno ya JK ya "Mwacheni mzee wetu atulie"... na fujo za ndani ya TISS na CCM... hivi tunaamini kweli kutafanyika lolote zaidi ya DRAMA ambayo Script yake bila shaka imeshaandaliwa?
 
Waungwana,

Walichofanya USA ni kitu cha kawaida mno wala hakimaanishi kwamba Ballali ataondolewa hapo hapo USA.

Ballali alikuwa USA kwa niaba ya serikali ya TZ, kama kiongozi wa Tanzania, lakini kwasababu sasa amepoteza huo wadhifa, ina maana hana sifa tena ya kuwa na hiyo visa. Wanachoweza kufanya ni kumbadilishia visa. Kama anaumwa anaweza kupewa visa ya kutibiwa au visa vyingine.

Kuhusu green card, hata kama alikuwa nayo kwasababu alirudi TZ kufanya kazi ya muda mrefu basi anapoteza haki ya kuwa na hiyo green card. Kwasababu yeye pia alikuwa ni gavana, sio rahisi kuficha na ili kuondoa balaa, dawa pekee ni kurudisha hiyo green card. Ila kwa mtu ambaye amewahi kuwa nayo naamini ni rahisi kuipata tena kama kuna sababu za kufanya hivyo. Kwasababu yeye bado ana familia USA na huenda ana pesa za kutosha kujitegemea, sitashangaa baada ya muda akirudishiwa hiyo green card yake.

Pia serikali ya Tanzania imemfukuza kazi Ballali, kitu ambacho ni jambo la kawaida maana watu wanafukuzwa kazi kila siku. Serikali haijamhusisha moja kwa moja Ballali na corruption au crime nyingine, hivyo bado ana sifa zote za kupata visa kwenye balozi mbalimbali.

Arguments zangu hapo juu nimezitoa kulingana na sheria za UK, naamini hakutakuwa na tofauti kubwa na USA.

Hiyo taarifa haibadili kitu chochote, labda mpaka serikali ya Tanzania ikiamua kumshitaki Ballali na kuomba arudishwe Tanzania.

Walichofanya USA hakina tofauti na walichofanya serikali cha kusitisha kulipia matibabu na huduma za Ballali akiwa USA, maana kwasasa sio mfanyakazi wao tena. Hii haina maana kwamba Ballali atashindwa kuendelea na matibabu.
 
Nadhani sasa mchezo unakuwa mtamu.Balali aseme kwa nini DeepGreen haikom katika list ama walichagua mengine na kuacha mengine ? Kuna connection kubwa ya TISS na Deep Green
 
Back
Top Bottom