kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 12, 2012 #2 wanajifanya wanajua kusoma alama za nyakati kumbe wako chaka
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 13, 2012 #3 Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli!
A allydou JF-Expert Member Apr 16, 2009 1,603 1,060 Jun 13, 2012 #4 kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee
Wingu JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,318 401 Jun 13, 2012 #5 Usikute wenzenu wameenjoy hawajaona siku mingi mpaka wakapata shock
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 Jun 13, 2012 #6 Hivi hawa si hawajawahi kuona hii kitu....sasa wanashtuka nini??
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 13, 2012 #8 allydou said: kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee Click to expand... Kwahiyo umekubali kuwa hawa masista wa sasa ni fix....ninavyojua mimi wanatakiwa waishi kama Bikira Mariya, ninachoshangaa waijuaje hiyo kitu. Sidanganyiki...
allydou said: kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee Click to expand... Kwahiyo umekubali kuwa hawa masista wa sasa ni fix....ninavyojua mimi wanatakiwa waishi kama Bikira Mariya, ninachoshangaa waijuaje hiyo kitu. Sidanganyiki...
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jun 13, 2012 #9 MadameX said: Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli! Click to expand... Kwani kuwa bikra ndio kutojua hicho kitu?? nani kakwambia kuwa masista ni mabikra???
MadameX said: Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli! Click to expand... Kwani kuwa bikra ndio kutojua hicho kitu?? nani kakwambia kuwa masista ni mabikra???
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jun 13, 2012 #10 hii kitu hatari sana..watoto waililia hii utadhani wamelogelezewa