Balali

MKWELIMAN

Senior Member
Nov 24, 2008
126
21
Hivi kama balali alikuwa mraia wa marekani then kwa sheria zipi zilimruhusu kuwa gavana aidha kama ni mtanzania then mpaka leo dual citizenship haijapitishwa hapa tanzania........ Hiyo yote kwa sababu amezikwa marekani ...... Naomba ujuuza
 
achana na huyo mfuhai haf unasema amezikwa kwani amekufa? Acha kumtabiria kifo mnyalu wa watu
 
Ndiyo maana nime post hiyo thread ili tuone tunavo danganywa ........... Ndomaana siamini kama ame kufa
 
Usimchulie Balali mnyalu wa watu. Ndugu zake wenyewe hawasikitiki na wana kula zao Ulanzi Iringa. Mbona nyie mko kimbelembele!
 
Hapa hapaeleweki nahisi ni kwa sababu hapana kichwa wala miguu
 
jiulize iweje watu waliohukumiwa kifo kwa mauaji ya Kombe wameachiwa huru!!
 
Hivi kama balali alikuwa mraia wa marekani then kwa sheria zipi zilimruhusu kuwa gavana aidha kama ni mtanzania then mpaka leo dual citizenship haijapitishwa hapa tanzania........ Hiyo yote kwa sababu amezikwa marekani ...... Naomba ujuuza

Hv ulihudhuria mazishi yake? Dogo achana na mambo ya hawa magamba,ama umesahau hii kauli ya PM mstaafu? "WAKIMWAGA MBOGA NAMWAGA UGALI" fanyia kazi ya kauli ya Edward Ngoyai Lowassa na bila shaka mambo ya Balali hautazungumzia.
 
Back
Top Bottom