Balaa Mwenge jioni leo

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Kwema, dah jamani nimepiti Mwenge leo jioni nimekuta kituko cha mwaka.

Dada amefungasha kwelikweli (sikumpiga picha)sababu za usalama.

Amefungasha kiasi kwamba anashindwa kutembea vizuri, hali iliyofanya wahuni kumzunguka na kumpigia kelele.
Nawasilisha
 
Mleta mada hujasema kama kufungasha kwake kunatnkana na kivazi cha kioja au vipi ila hilo walilofanya hao jamaa ni kosa, tena liko punishable under the penal code. Hata hivyo kina dada hebu jaribuni kuvaa mavazi yanayositiri uanamke wa kiafrika. We unajua uko Afrika yetu unajipwinya kivazi michoro ya maungo yote inaonekana, that is a shame! Mie niliwahi kushuhudia kariakoo, yani yule dada walimzomea mpaka wakaanza kumshika maungoni ikabidi wamama flani wamsitiri kwenye duka akapewa khanga. Ni tabia chafu maana kila nguo ina mahala pake kwa kuvaliwa.
 
alaaah! Kumbe ni mavazi mie nilifikiri umbile ka wo!wo!wo! Vile. Akina msikurupukie utamaduni usio wenu.
Ili na wewe uvae kama huyo dada halafu ukatize mitaa ya tandale, mwenge stendi au kariakoo ujionee utakavyojizolea mashabiki.
 
Kwema, dah jamani nimepiti Mwenge leo jioni nimekuta kituko cha mwaka.

Dada amefungasha kwelikweli (sikumpiga picha)sababu za usalama.

Amefungasha kiasi kwamba anashindwa kutembea vizuri, hali iliyofanya wahuni kumzunguka na kumpigia kelele.
Nawasilisha

Kafungasha ki2 gani? au mzigo mkubwa wa kuni, au mahindi? hujaeleweka mkuu.
 
Kwema, dah jamani nimepiti Mwenge leo jioni nimekuta kituko cha mwaka.

Dada amefungasha kwelikweli (sikumpiga picha)sababu za usalama.

Amefungasha kiasi kwamba anashindwa kutembea vizuri, hali iliyofanya wahuni kumzunguka na kumpigia kelele.
Nawasilisha

teh teh teh teh pole sana wewe hujui kuwa MWENGE ni show room nin??
Pita/nenda kuanzia saa 10 jion ujionee mwenyewe kuna sample ya kila aina.

Wote wapatikanao hapo si wasafiri???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom