Balaa la kuzaa nje ya ndoa

Nov 23, 2011
12
3
VISA VYA KUZAA NJE YA NDOA:
Kijana alitaka kuoa, akamwambia baba yake niposewe msichana fulani. Babake akamwambia tafuta kwingine, yule ni dada yako, ila mamako hajui usimwambie. Kijana akatafuta msichana mwingine. Baba akamweleza huyo naye ni dadako, mamako hajui. Kijana akamtafuta wa tatu, ikawa hivyo hivyo. Kijana akaenda kumwambia mamake. Mama akasema kaoe ye yote kati yao. Huyo siye babako, yeye hajui, ila usimwambie.
 
ndio maana tunatakiwa kuoa baada ya kula mavitu sana pasiwe na sababu ya kukwaza ndoa
 
Back
Top Bottom