Bakwata na mambo yake.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nasikia kuna sheikh mmoja ana glosari ya kuuza pombe, pia sheikh mwingine ni mkristo.
 
Kwani kuna ubaya gani sheikh akimili baa?
Au akiwa mkristo?
Mashehe ndio walaji wakubwa wa kitimoto, ukitaka kuhakikisha, tembelea sehemu za kitimoto mwezi wa ramadhan
 
Nami nko huku mbeya,jana nilimwomba mshikaji Ustadhi gari yake ndogo nkaitumia kutoka mbeya mwanjelwa kwenda Tukuyu. Wakati niko tukuyu nkawa na kiu nkapita sehemu nkapata moja baridi. Niliporejesha gari ikabidi nipite car wash mwanjelwa kuondoa harufu ya pombe ili ustadh asijenitoa nduki. Jioni nkamtafuta mshikaji wangu wa Tra mbeya. Tukakutana Shaba Pub Mwanjelwa. Nlipomwambia kuwa nlikuwa Tukuyu na usafiri wa Ustadhi,kumbe anamjua ustadh ni mshirika mwenzie,jamaa kanyanyua cm na kumtwangia ustadhi,ustadhi alikuja mbio na kashangaa kunkuta pale Shaba pub,Ustadhi kakata kiu Mpaka nimeogopa,mpaka saa8 usiku, ilikuwa ni mishikaki,castle,kitimoto,disco mwanzo mwisho. Ama kweli dini zimeingiliwa. Mchana ustadh,usiku mwenzetu!
 
kwanza kichwa cha habari na maelezo haviendani, mlitakiwa mfafanue zaidi

pili , sheikh kumiliki baa kuna tatizo gani? si yeye na munu wake? kwani nyie hao mapadri waliozaa watoto wana uhusiano gani na kanisa? si matatizo yao wenyewe na uhuni wao? naona mmekosa vya kuandika

hata hivyo, hii inanipa picha kuwa mnatambua kuwa waislamu ni watu waadilifu so ni jambo la kushangaza kwa mwislamu kutokuwa mwadilifu
 
Nasikia kuna sheikh mmoja ana glosari ya kuuza pombe, pia sheikh mwingine ni mkristo.
Heresay!

Mimi nasikia kuwa zamani Jogoo Sungura na Kobe walikuwa wanaongea. Pia kwamba kulikuwa na Gulio sehemu iliyoitwa Katerero, ambapo kwa sasa pana msikiti!
 
Kwani kuna ubaya gani sheikh akimili baa?
Au akiwa mkristo?
Mashehe ndio walaji wakubwa wa kitimoto, ukitaka kuhakikisha, tembelea sehemu za kitimoto mwezi wa ramadhan

Kwani kuna ufahari kuiga tabia mbaya za kishenzi kutoka kwa washenzi !? Mshenzi atamsifu mshenzi mwenzie ............... lakini muungwana lazima ampinge ! .............. so mnashangilia washenzi wenzenu ? Kuku ni kuku, Jogoo jina !
 
Nami nko huku mbeya,jana nilimwomba mshikaji Ustadhi gari yake ndogo nkaitumia kutoka mbeya mwanjelwa kwenda Tukuyu. Wakati niko tukuyu nkawa na kiu nkapita sehemu nkapata moja baridi. Niliporejesha gari ikabidi nipite car wash mwanjelwa kuondoa harufu ya pombe ili ustadh asijenitoa nduki. Jioni nkamtafuta mshikaji wangu wa Tra mbeya. Tukakutana Shaba Pub Mwanjelwa. Nlipomwambia kuwa nlikuwa Tukuyu na usafiri wa Ustadhi,kumbe anamjua ustadh ni mshirika mwenzie,jamaa kanyanyua cm na kumtwangia ustadhi,ustadhi alikuja mbio na kashangaa kunkuta pale Shaba pub,Ustadhi kakata kiu Mpaka nimeogopa,mpaka saa8 usiku, ilikuwa ni mishikaki,castle,kitimoto,disco mwanzo mwisho. Ama kweli dini zimeingiliwa. Mchana ustadh,usiku mwenzetu!

...... Tafsiri rahisi, alikua mshenzi mwenzio mnafanya mambo yenu ya kishenzi ambayo yamekatazwa na Dini !
 
Ni ushauri tu:
Kama mnaweza achaneni na habari za mambo binafsi manake tutaendeleza marumbano yasiyo na maana, kama mnaweza, tujadili mstaskabari wa nchi yetu kiuchumi na maendeleo kwa ujumla badala ya kuongelea hawa wenzetu, kama mnaweza tujadili namna ya kupambana na maadui wetu wakuu watatu badala ya kuwajadili watu.

Binafsi nawaweka watu katika makundi matatu, wenye akili finyu (simple minded people) Ambao kazi yao kuu ni kujadili watu. moderate minded people (ambao hujadili matukio) na strong minded people (ambao hujadili mikakati):

kwa kuwa hapa jamvini tunategemewa kuwa great thinhers basi tukishindwa kujadili mikakati, tujadili matukio badala ya kujadili watu. Tusiwe kama wao badala ya kujadili hali halisi wao wanawajadili wanaojadili matukio na mikakati.

Ni ushauri tu
!
 
Back
Top Bottom