BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

CDM kutumiwa na baraza la maaskofu kupitia Padre slaa inaelekea kufa.

Tena ninavyo lijua kanisa katoliki linaitumia Chadema kama vile kufanya mapenzi na mwanamke bila kondom akipata mimba wanakaa pembeni! Kadinal Pengo ni mshauri mkubwa wa Chadema kwa mambo ya kisiasa! Bakwata imekua inatoa tahadhali sana kwa Watanzania juu ya Chadema kuwa ni chama cha Kanisa Katoliki na uzuri tumeshuhudia sana matamko wa hao maaskofu wakitetea Chadema! Mbona mauaji ya Zanziba Maaskofu hawakusema kitu? Ebu wenye akili iangalieni Chadema na Kanisa Katoliki kuna utofauti gani?
 
Nawapongeza sana waislamu kwa kutokubali dharau hii kutoka chama cha padri na mzee wa bilicanas
 
Mjadili mada kwa maslahi ya taifa na sio matusi,mwenyezi mungu anasema usitoe uamuzi(fatwa) ktk jambo ambalo huna elimu nalo mi naamini kama mashekh wanatumiwa kwa lengo la kisiasa inshallah mwenyezi mungu atawahukumu na pia kama wapo sahihi inshallah mwenyezi mungu atawaongoza,kwa maoni yangu aliyedhalilishwa pale ni mkuu wa wilaya kwa matendo yake ya ukiukwaji wa sheria na sio fatuma kimario but all in all mwenyezi mungu ndiye mjuzi

Mkuu Mwacheni, tatizo liliopo hapa ni kuwa ccm inatugawa na sisi kama great thinker tulipaswa kulijua hili na si kulishabikia kama lengo la ccm lilivyo. Tuombe mungu atuongoze kwa busara.
 
Wakati viongozi wa BAKWATA Wilayani Igunga wakiwaamuru waislam wote wa Igunga wasiichague Chadema, kiongozi mmoja wapo alikuwa na peni yenye maandishi ya ccm, hii inatokana na taarifa kuwa muda mfupi viongozi hao walikutana kwa siri na viongozi wa ccm katika hoteli ili wapange mkakati wa kuingiza udini kwenye kampeni za Igunga, mara baada ya waandishi kuiona aliificha na walipoulizwa kuhusu kutumiwa na ccm walihamaki.

Peni imeiumbua BAKWATA na kuonesha kuwa ni chombo kinachotumiwa na ccm bila kujali maslahi sahihi ya waislam na kuwaona waislam wote ni mambumbumbu wasioweza kupambanua mambo.

Sources: Mwananchi,Tanzania Daima
 
BAKWATA...BAKWATA...BAKWATA:
Msifuate maslahi ya matumbo yenu, inatakiwa mkumbuke kuwa nyie ni taasisi ya kidini na sio taasisi ya chama flani.

Mko hapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya waislamu na sio ya kisiasa...

Ndo maana sie waislamu tunadharaulika na kutumika kama upepo kupeperusha bendera za chama then baadae tunahadaika na kudhalilika malengo ya wanasiasa yakishatimia. Maana wanaona hatuna msimamo (tunaangalia matumbo yetu tuu).

Muda wa mabadiliko umewadia waislamu wa Tanzania tufanye mabadiliko katika taasisi zetu, or unless otherwise tutaendelea tuu kulalamika kuwa madai yetu hayasikilizwi huku viongozi wetu wakienda kuonana na mkuu wanapozwa na chai wanasahau kila kitu.
 
Tatizo la waislamu ni kuwa uongozi wao hauna hierarchy, (hirakia). Mtu yeyote hata kama ni kiongozi wa msikiti wa mtaa, anaweza kuibuka akaita waandishi wa habari akasema 'waislamu tunato msimamo fulani'. Nadhani hii itawafanya waislamu wafarakane sana hasa katika kipindi cha vuguvugu la kisiasa.
 
Tatizo la waislamu ni kuwa uongozi wao hauna hierarchy, (hirakia). Mtu yeyote hata kama ni kiongozi wa msikiti wa mtaa, anaweza kuibuka akaita waandishi wa habari akasema 'waislamu tunato msimamo fulani'. Nadhani hii itawafanya waislamu wafarakane sana hasa katika kipindi cha vuguvugu la kisiasa.

ni sahihi kabisa tuko
 
Tatizo waislam kupitia Bakwata tunatumiwa kama Kondom na ccm kwa kuwalinda na wakimaliza shughuli yako hututupa na kutotukumbuka tena. Jamani tuamke, tutatumiwa mpaka lini kwa masilahi ya wanasiasa??
 
Wakati viongozi wa BAKWATA Wilayani Igunga wakiwaamuru waislam wote wa Igunga wasiichague Chadema, kiongozi mmoja wapo alikuwa na peni yenye maandishi ccm, hii inatokana na taarifa kuwa musa mfupi viongozi hao walikutana kwa siri na viongozi wa ccm katika hoteli ili wapange mkakati wa kuingiza udini kwenye kampeni za Igunga, mara baada ya waandishi kuiona aliificha na walipoulizwa kuhusu kutumiwa na ccm walihamaki.

Peni imeiumbua BAKWATA na kuonesha kuwa ni chombo kinachotumiwa na ccm bila kujali maslahi sahihi ya waislam na kuwaona waislam wote ni mambumbumbu wasioweza kupambanua mambo.

Sources: Mwananchi,Tanzania Daima
CCM inawatumia waislam kama toilet paper.
 
Umasikini wa Waislam umesababishwa na Bakwata na CCM. Shime waislam tuungane kuipinga mkono CCM na Bakwata.
Balukta ndicho chombo pekee kilichokuwa kwa ajili yetu, lakini Bakwata na CCM wakaivunja ili kutunyima haki waislam
 
Bado wanadanganywa kama watoto wadogo!? Kweli kukosa elimu ni kukosa busara na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi!
 
Nyie mnaojibizana wote ni wapumbavu. Wakati wa kupiga kura hakuna cha udini, kila mtu atapiga kwa mapendo yake. Hao BAKWATA wala hawana maana yeyote kwa waislamu.

Mashehe na Mapadri wao wafate siasa zao za misikitini na makanisani.

2po pamoja mkuu,ktk mambo yanayolihusu taifa 2napaswa kuweka siasa kando,tunapaswa kulaani yeyote anae iingiza dini ktk siasa,tunapaswa kumlaani yeyote anaechochea udini awe shehe,padre,mchungaji au mwanasiasa.Nashangazwa na wanaowahamasisha wakristo wahamie CDM kuwakomoa waislam,huku ni kufikiri kwaku2mia masaburi kwani tunaweza tukaliweka taifa le2 matatani!
 
Tatizo la ndugu zetu waislamu njaa zinawasumbua hata institution zao hazina ela za kutosha ndo mana wanayumbishwa 2 na greens guards ccm.watakufa na njaa kuwategemea chama kisichokuwa na vipao mbele, hopless.
 
Mjadili mada kwa maslahi ya taifa na sio matusi,mwenyezi mungu anasema usitoe uamuzi(fatwa) ktk jambo ambalo huna elimu nalo mi naamini kama mashekh wanatumiwa kwa lengo la kisiasa inshallah mwenyezi mungu atawahukumu na pia kama wapo sahihi inshallah mwenyezi mungu atawaongoza,kwa maoni yangu aliyedhalilishwa pale ni mkuu wa wilaya kwa matendo yake ya ukiukwaji wa sheria na sio fatuma kimario but all in all mwenyezi mungu ndiye mjuzi

Mara zote lazma udhaifu wa wafuasi wa CDM hauwezi kujificha,mara zote hoja zao zinasukumwa na mihemko na si uhalisia,hizi pumba zenu mnazozieneza humu mnatofauti gani na hao mashehe mnaowalalamikia?kudharau au kukejeli dini ya m2 mwine,kuhamasisha wakristo kuhamia CDM huku ni kuligawa taifa le2 pasipo sababu.
 
Sipendi kusema bakwata wana njaa, sipendi kusema bakwata wanatumiwa kama condm au t.paper, sipendi kusema waislamu wantumiwa. Napenda kusema kuwa imekuwa rahisi kwa CCM kutumia vikundi vya watu wachache kwa jina la Bakwata, kwa sababu ya udhaifu wa ama sheria, au taratibu au katiba inayoongoza bakwata. Sio rahisi ukasikia paroko wa kanisa fulani, pengine na halmashauri ya walei ya parokia husika, imekutana na waandishi wa habari na kusema 'kanisa katoliki linatoa msimamo huu wa kisiasa'. Sio kwamba katika kanisa katoliki hakuna mapadri wanaoweza kutumika, ila kwa sababu akijitokeza padri akaongea havyo hawezi kusikilizwa kwani utaratibu ni kwamba, mambo kama hayo lazima yapitie katika baraza la maaskofu Tanzania.
Kama mtu anataka 'kuwatumia' viongozi wa wakatoliki kisiasa, inabidi alinune baraza zima la maaskofu Tanzania, ili waweze kuwa na msimamo mmoja, hata kama ni issue inayohusu wilaya au hata kijiji fulani peke yake.
Tatizo la BAKWATA kama nilivyoeleza awali ni kuwa kiongozi yeyote wa Bakwata katika level hata ya wilaya, anaweza kuitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutoa msimamo wa BAKWATA (inafanana na UVCCM).

Hii inaweza kuonekena just a simple thing, lakini niwaambie tu kuwa bila shaka itaathiri sana mshikamano wa waislamu nchini, hasa yanapoguswa maslahi ya kitaifa kama siasa. Kwa kipindi kifupi kisichozidi mwaka mmoja, kumekuwa na matamko mengi ya kisiasa yanayotoka BAKWATA. ijui ni kwa kiasi gani yanakuwa yamefanyiwa utafiti, lakini nahisi haya ndiyo yatakayoifarakanisha jamii ya waislamu tanzania...
 
Back
Top Bottom