Bakuli la sadaka lililopitishwa Arumeru CCM mmejifunza nini?

Ngoja na mie ntume kesho ka elfu nane nsiwe tegemezi ya ruzuku kama mrema,cdm da'z gud movie,ivi m2 kujinunulia kiatu kosa?MPAKA LEO CCM HAWAJASEMA WALICHANGIWA BEI GANI KUPITIA UPATU ULIOTANGAZWA NA AKINA ALY KIBA walouza sura kuwadanganya watu kuchangia kampeni MWAKA 2010.
 
watajitahd kwa njia yoyote asitoke yule !
Kwa mfano kama itatokea ametolewa na mahakama je ccm wanaweza ruhusiwa kumuweka m2 mwingne au inakuaje !
Mwenye uelewa na hili tafadhali !

Yaani wakishambetua inakuwa imetoka hiyo, mchuano utabaki CDM na vile vingine. Kumbuka jamaa wanaopita bila kupingwa huwa wanawawekea wenzao pingamizi wakishafaulu tu imetoka hiyo! Kumbuka Masha alivyokuwa anahaha kumwekea pingamizi mh. Wenje!
 
chama maskini unazani kitafanyaje? Na mim katu siwezi kuunga mkono chama maskini

nilitaka nikujibu ila imebid ni behave tu,ila elewa kua hata vyama vikubwa duniani vina utaratibu huu wanaotumia cdm,sema kwa kua wewe umekariri
 
Hongera sana wana arumeru, waachane Mafisadi na watoto wao, fanye mabadiliko ubunge sio wa ukoo wa sumari. Kazi mliyo nayo ni kulinda kura zenu maana ccm ni mafia, tuwatuma vijana huki wataongoza namna ya kupambana, muulize Silinde, Sugu, Halima, Mnyika, Rev. Msigwa, Zitto, Vicent Nyerere, Wenje, Selasini na timu yote ya Chadema. " Don't kubeba-Msiwambie". Kama Zambia kwa nini tusiweze kuwaong'oa hawa' TUMEWACHOKA.
 
Yaani wakishambetua inakuwa imetoka hiyo, mchuano utabaki CDM na vile vingine. Kumbuka jamaa wanaopita bila kupingwa huwa wanawawekea wenzao pingamizi wakishafaulu tu imetoka hiyo! Kumbuka Masha alivyokuwa anahaha kumwekea pingamizi mh. Wenje!
haysee wambetue huyu zipone hela uko BOT.
 
Nchi hujengwa na wananchi wenyewe, hii ni sera ya wazi iliyooneshwa na Chadema leo. Na hiyo hufanya kazi tu ikiwa hakuna ufisadi, kuna uaminifu. Wananchi wameonesha imani yao kwa chadema. Hongera Chadema, hongera wameru.
Ccma wabaki na sera zao za kiwiziwizi..... mwisho wao kaburi.

Changamoto waliyonayo Chadema ni kudumisha hiyo imani wananchi wameionesha na wameiweka kwao. Kwa kuwashirikisha wananchi unajenga patnashipu nao katika kumiliki chama. Na hivyo kujiona na yeye ni mbia katika chama. Unajua kumkorofisha patna ni tofauti na kumkorofisha mpita njia.
 
hayse iyo ni kweli kabsa ila imani ipo hawa jamaa wana safu nzuri la msing pesa izo sasa zisitumike kiholera .
 
kuchangia kampeni ni sawa cdm lakini mbona kuchangia maendeleo kwenu mnaona sy haki? Tunawaangalia kwa macho mawili ninyi ni chama hatari sana.

Una maana kuchangia maendeleo au matumbo ya vingozi wa magamba. Kuna kituo kimoja cha Police Post maeneo ya Ubungo, Msewe, Dar es Salaam. kinajengwa kwa miaka 16. Bado tuendelee kuchangia. Huu ni mfano tu. Najua huu mchango wa CDM umekuuma sana, lakini waambie magamba waache ubunafsi na kurudisha cmama kwa wananchi. Na hasa uadilifu ni kitu muhimu zaidi kama unataka michango ya wananchi. Vinginevyo kachukue EPA.
 
kingine kipo mby maeneo ya block t icho kituo cha polisi kinajengwa huu mwaka wa 13.
Wabunge wanakuja wanaondoka kipo hata sugu naye ataondoka na kukiacha vile vile japo kipo jilani na kwake.
 
Back
Top Bottom