Bakora Zatembea Kwa Wanawake Wanaovaa Suruali nchini Sudan

Sio kweli kwamba Sudan wanawake hawaruhusiwi kuvaa suruali. Suruali wanavaa karibu wanawake wote isipokuwa inabidi wavae na magauni makubwa ambayo hayaruhusu viungo vya mwili kuonekana. Nimewahi kuishi Sudan na nina uhakika na ninachoandika hapa. Hawa waliopigwa bakora nadhani walivaa jeans na halafu hawakuvaa gauni kuficha maungo.

Tiba
Tiba (Nafikiri ni Dada-kama sivyo kumradhi) sasa maungo tena yafichwe . Si suruali imeyaficha?
 
Tiba (Nafikiri ni Dada-kama sivyo kumradhi) sasa maungo tena yafichwe . Si suruali imeyaficha?

Pakacha,

Hujakosea kuniita dada. Ila kwa waislamu si ruhusa mwanamke kuonyesha body structure yao hadharani. Ni kweli suruali inaficha uchi lakini inaonyesha wazi body structure na hasa ikiwa niyakubana sana. Kwa kujua hilo, wanawake wa kiislamu pamoja na kwamba wanavaa suruali karibu kwa asilimia 80% lakini wanavaa na magauni mapana yanayozuia muonekano wa body structure.

Nafikiri hapo umenipata.

Tiba
 
Bull,

Nani amekudanganya kwamba Sudan hakuna ukimwi!!! Nafikiri hauna uhakika na unachokisema. Sudan kuna ukimwi kama nchi nyingine yoyote ya Africa!!! Na maduka yote ya madawa yanauza condom kama sehemu nyingine yoyote na kwa uwazi. Unafikiri ni kwa nini hawa wafuata sharia law wanaruhusu Condom kuuzwa hadharani? Tafuta jibu.

Tiba

Tiba

Tiba
Sijakataa Sudani hakuna ukimwi, ninchosema sharia law imesaidia sio tu Sudani bali kilasehemu ilipo kupunguza kasi ya Ukimwi.

na siokweli ukimwi wa sudani utafananisha na sehemu nyingine popote sub sahara afrika, sisi subshara tumesha kwisha, tumemalizwa zaid ni sababu ya kuiga tamaduni za west, tungebaki na tamdun zetu tusinge kwisa namna hii.

Bado tamaduizao zinasaidia kupambana na uambukizaji wa ukimwi
 
Back
Top Bottom