Nakubaliana na wewe mkuu sioni umuhimu wa kupitisha au kutopitisha bajeti kwani ni hewa. Nashangaa ni kwa nini Bunge huwa halihoji hilo. Hizo bn 95 ni hewa na hats zile zilizoonekana ni ndogo hazitoshi ni asilimia 20 tu ndo zitapelekwa Wizarani. SERIKALI IMEKAA KISANIIHoja nyingi zilizojadiliwa na wabunge zisingeweza kuzuia bajeti isipite. Kwa mfano swala la ATC au TRL ufumbuzi wake hauwezi kupatikana over night. Majibu ya waziri wakati anahitimisha hoja yake, yanatosha kuwafanya wabunge wapitishe bajeti, kama yataonyesha kusikilizwa kwa hoja zao. Kuongeza pesa hakuna maana yoyote kwa sababu ukweli ni kwamba pesa hizo hakuna. Wana inflate bajeti tu.....Uzoefu huonyesha kuwa wizara nyingi hupokea si zaidi ya nusu za fedha zinazopitishwa na wabunge, na sijawahi kusikia wabunge wakihoji swala hili. Wanapitisha bajeti hewa.