Ni Serukamba wa Kigoma MjiniHivi Mwenyekiti wa kamati ya wizara hii ni nani?na wenzie ni akina nani? ..lazima watakuwa wamekula ka....billioni hao, Unajua namkumbuka marehemu Faresi Kabuye aliyewahi kusema kuwa "wabunge wengine ni kama kuku kwani wakiingia kulala hapohapo wanakunya mavi asubuhi wanatoka kwenda machungani usiku wanaingia mlemle walimokunya usiku"
Kuhusu UDA anasema kama kuna mtu amenunua hisa za UDA ameingia choo cha Kike. Anasema kama mwenyekti wa kamati ya mashirika ya umma UDA haijauzwa.
Mkuu wa nchi wakati wa kampeni si alisema atawanunulia meli mpya watu wa Nyasa. Lilikuwa changa la macho, hazipo kwenye bajeti, au atatoa mfukoni mwake, KJ bwana.[/QUOTE]
LABDA ILA TUTAONa
<br />Umeongea ukweli mtupu.Kelele zinazopigwa na wabunge wa CCM ni bure.Bajeti inapita tuu.
Deo sanga anazungumzia kuhusu UDA lakini ameomba viwanja vya ndege njombe na iringa vitengenezwe,
pia hajaona bajeti ya kununua wala kukarabati boti wala meli kwa watu wa nyasa.
Na yeye anasema ataunga mkono hoja kama wataongeza fedha.
Hii yangu: Mkuu wa nchi wakati wa kampeni si alisema atawanunulia meli mpya watu wa Nyasa. Lilikuwa changa la macho, hazipo kwenye bajeti, au atatoa mfukoni mwake, KJ bwana.
<br />Ntaweka hotuba ya upinzani punde
Sasa ni Godfrey Zambi (CCM), ameanza kwa kusema haungi mkono hoja asije akasahau baadae.
Anasema sakata la UDA ni ukaidi wa viongozi wa Dar es salaam, anasema nchi hii ina serikali mbili? anapendekeza halmashauri ya jiji la Dar es salaam ivunjwe, amesikitika sana Kapuya amehusika moja kwa moja lakini akakubali kuwa kwenye kamati ya uchunguzi. Anamuomba waziri mkuu atoe tamko la kuvunja halmashauri ya jiji la Dar. Anasema Meya wa jiji la Dar amehusika moja kwa moja pia.
Anasema pesa zimeingizwa kwenye account ya Iddi Simba na nyingine kwenye account ya Pride ambayo Mkurugenzi wake ni Idd Simba.
Anaendelea kusema kama serikali ya CCM tunasema ni sikivu, mbona haisikii, tunajicontradict wenyewe.
<br />Enzi za ba Mkapa haya yangetokea bungeni? Nani wa CCM angesimama hasiunge mkono hoja? Mapinduzi haya japo madogo yameletwa na nani? Nijuze