Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mbunge anayesimama mpaka sasa ameiponda bajeti na hauingi mkono, si wa ccm si wa upinzani. Nanusa harufu ya bajeti hii kurudi kwa marekebisho, tusubiri tuone.
Yaani wakati tunapiga vita udini kwa nguvu zote,imeibuka mijitu yenyewe imekaa kichamachama tu no maslahi ya taifa! Kila kitu yenyewe ni chadema and ccm!! Kafilie mbali na uchama wako

Kaka wapinzani hawaja toa yao iweke hapa kaka unajua tena ngeleja hatunae

Yaani wakati tunapiga vita udini kwa nguvu zote,imeibuka mijitu yenyewe imekaa kichamachama tu no maslahi ya taifa! Kila kitu yenyewe ni chadema and ccm!! Kafilie mbali na uchama wako

Haya mambo ya bajeti kurudi ni mageni katika historia ya nchi yetu.Kikwete should leave ,ameshindwa kuongoza.It's as simple as that.Kila mbunge anayesimama mpaka sasa ameiponda bajeti na hauingi mkono, si wa ccm si wa upinzani. Nanusa harufu ya bajeti hii kurudi kwa marekebisho, tusubiri tuone.

tupeni yanayoongewa huko plz huku ngeleja keshafanya mambo
Haya mambo ya bajeti kurudi ni mageni katika historia ya nchi yetu.Kikwete should leave ,ameshindwa kuongoza.It's as simple as that.
Mabumba ndio mwenyekiti jioni hii, mijadala imeanza, ameanza Machemli (Chadema Ukerewe) anasema bila ndege tunarudi kwenye ujima, anahoji chama makini chama sikivu, usikivu uko wapi, kazi yao kuvuliwa magamba, nani kakwambia nyoka anavuliwa gamba, nyoka akizeeka anajivua gamba mwenyewe.
ametaja akina mataka wamefilisi chi, nani kachukua hatua, si waziri mkuu wala rais, anasema haungi mkono hoja.