Bajeti ya wizara ya elimu inasomwa lini?

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Wadau naomba kufahamishwa ni lini bajeti ya wizara ya elimu itasomwa,make wanachuo tunasubiria kwa hamu sana kujua wameongeza sh.Ngapi kwnye meals and accomodation!
 
wadau naomba kufahamishwa ni lini bajeti ya wizara ya elimu itasomwa,make wanachuo tunasubiria kwa hamu sana kujua wameongeza sh.ngapi kwnye meals and accomodation!
books allowance hamuisubiri kwa hamu?
 
Msifurahie madeni, Mtayalipa tu huko mbelen WATANZANIA TUTAELIMIKA LINI?? Kama huna jibu la swali kwanini usikae kimya?? Ndio maana WATANZANIA Wengi tunashindwa INTERVIEW! Tunadhani kila swala lazima lichangiwe hata kama hauna point! Sasa maelezo yako yametoa jibu la muuliza swali?? Kama hujui kaa kimya!
 
Back
Top Bottom