Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
ICT ni sehemu ndogo ya Teknolojia.
Siku si nyingi tutasikia bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka 2011/2012.
Niko interested na nawashauri wadau wote wa ICT ni vizuru tujaribu kutafuta data za vifungu vya matumzi amabyo vitengo na idara zaserikali zimepanga kutumia specificaaly kwenye mambo ya ICT.
My initial observation ni kwamba kuna miradi mingi sana ya ICT kwenye wizara na idara lakini end product yake haina viwango na manufaa yake hayako wazi. au ina underprform. Mfano mdogo ni tovuti za wizara na idara nyingi.
So kama watanzania na wana ICT twende hatua moja mbele
Maxence Melo sijui kama anaweza kutusaida kuomba summary ya makadirio ya matumizi na miradi ya ICT GROUP by Idara / wizara / Mikoa kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha
Sure we can consult our goverment wht is best sio Lazima kina patel au gupta. and we can do it for free.
Nawasilisha sijui mnasemaje wadau.

- Tuunde team amabyo once a month itakuwa inatoa mapendekezo formaly kwenye wizara na idara juu ya mapungufu tuliyaona au kuwapongeza juu ya ufanisi tuliuona kwneye mambo ya ICT
- Tujaribu kutengeza Evaluation model inayofaa kutumika kwneye kupata ana na vfifaa sahihi vya i ICT na bora kwenye ofisi za serikali eg computer, scanner. Matumizi makubw aya serikali yako kwenye manunuzi na vifaa vya ICT ni vya gaharama sana.
- Tujaribu kupata taraifa computer system project or systems zilizopo ofisi mmbali mbali kuona kama zina deliver to their maximum capacity. Eg Tume ya uchaguzi ina Database. Je inatumika to its maximum au ni seasonal.? Je lIdaraya polisi ikitaka kuwa na database ya wakazi si vema wawe na views kwenye database hii? Au na wao wanaanzisha yao mpya?