Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

Kinachouma ni kwamba,hata matumizi yao yakifanyiwa Auditing ripoti yake haiweki hadharani.

Kila Mwaka wanaongezewa Bajeti,Ni upuuzi mtupu wakti usalama wa nchi haungaliwi ipasavyo.

1.Karamagi na Lowassa Wameliaibisha Taifa na kuliibia kwa nkunyonya pesa ya RDC,Mbona hao wanojiita Usalama hawajfanya chochote

2.Msolla kaiba Pesa ya SUA,mbona hawajamchunguza

3.Balali amekufa ,Mbona hawajachunguza??nani aliwaambia wampeleke Dodoma?

4.Amina Chifupa alikuwa kwa kifo cha kutatananisha,walikuwa wapi kutupatia taarifa??

5.Usalama wa Taifa hawa ndiyo KAGODA,

Usalama usalama,Hatuhitaji Usalama Wa Taifa tena kama hawatajibu maswali yangu...Am so angry.
 
Mimi tatizo langu ni kwamba nani anawafanyia auditing USALAMA ?

Unaweza kuwa na bajeti kubwa ama ndogo na hela bado zikaliwa. Mara nyingi Serikali ikianzisha idara kwa sheria mpya, basi ile sheria ina kipengele kinachosema fedha watazopewa watapeleka ripoti ya matumizi katika muda fulani, na fulani atawafanyia ukaguzi wa hesabu, na kadha wa kadha.

Cha kusikitisha ni kwamba sheria ya kuanzisha TISS ya 1996 haisemi jinsi hela zao zitakavyo kuwa accountable.

Hapo ndipo ufisadi unapofanyika sasa.

Halafu kitu kingine, hicho kiasi cha fedha nani ameridhika kwamba wanakihitaji, Mkullo? Ilibidi Rashid Othman aende sehemu, Bungeni au kwingineko, kuomba na ku justify kupewa hizo hela.

Ukiachilia mbali ile idhini ya mwisho ya Bunge, mi nauliza, bajeti ya Tanzania inaandikwa na nani? Ni Mkulo peke yake ndio anagawanya pesa za Serikali? Nani anaamua fulani apate nini, na kwa vigezo gani, na anaombwa wakati gani, mbele ya kikao gani?
 
Ivi usalama wa taifa bado wapo mimi nilijua walikufa na Mpendwa wetu baba wa Taifa manake enzi zile ndo walikuwa fine
 
Mimi tatizo langu ni kwamba nani anawafanyia auditing USALAMA ?

Unaweza kuwa na bajeti kubwa ama ndogo na hela bado zikaliwa. Mara nyingi Serikali ikianzisha idara kwa sheria mpya, basi ile sheria ina kipengele kinachosema fedha watazopewa watapeleka ripoti ya matumizi katika muda fulani, na fulani atawafanyia ukaguzi wa hesabu, na kadha wa kadha.

Cha kusikitisha ni kwamba sheria ya kuanzisha TISS ya 1996 haisemi jinsi hela zao zitakavyo kuwa accountable.

Hapo ndipo ufisadi unapofanyika sasa.

Halafu kitu kingine, hicho kiasi cha fedha nani ameridhika kwamba wanakihitaji, Mkullo? Ilibidi Rashid Othman aende sehemu, Bungeni au kwingineko, kuomba na ku justify kupewa hizo hela.

Ukiachilia mbali ile idhini ya mwisho ya Bunge, mi nauliza, bajeti ya Tanzania inaandikwa na nani? Ni Mkulo peke yake ndio anagawanya pesa za Serikali? Nani anaamua fulani apate nini, na kwa vigezo gani, na anaombwa wakati gani, mbele ya kikao gani?
National Audit Office wao ndiyo wana jukumu la kukagua Hesabu zao,ila Hawana Ruhsua ya kutoa Ripoti ya ukaguzi kwa Public,na sijui hii ni sheria ya wapi??

Nani anayoa Audit Act waliyoipitisha jana?
 
Hivi hawa usalama wa taifa hasa ni nini?mbona hatuoni kazi zao?au ndio kuwa erase akina balali na chifupa na kuhakikisha ccm inashinda kwenye every election.
Cheers.
 
Sheria ya madini nani anayo??najaribu kupekuwa kujua zaidi inasema nini kuhusu hawa wezi kina Sinclair.

mie nahisi hakuna Mtu anayesababisha watanzania Tuwe Masikini zaidi ya Muungwana,Personal i cant trust this guy
 
Hivi hawa usalama wa taifa hasa ni nini?mbona hatuoni kazi zao?au ndio kuwa erase akina balali na chifupa na kuhakikisha ccm inashinda kwenye every election.
Cheers.

hii ni moja ya kazi zao za kifisadi..Mafisadi wote wanaanzania huko na baadaye wanakuwa watu wakubwa.angalia hata Membe naye katoka huko
 
Sumu.............. ngoja tuone

Naomba kumuunga mkono mwanakijiji,Mwaka huu mkitaka kutuzuga hakikishenii mnatuzuga tukazugika??

Ila Mungu anaona na atalipa sababu malipo ni hapa duniani,kwanini Mzungu wa Grumeti awatusi wabunge??kwanini jamani..

Mpaka kieleweke,nipo kuwasemea watanzania wenzangu mlioko huko mwisenge na mkendo..hawa jama wanakula na nani??
 
mnasahau kazi za usalma wa taifa? nani atamkingia kifua kikwete ili msimwandame na mmambo ya sinclair? nani atamtayarishia jk bi mdogo akienda majuu!
 
Sheria madini haiwezi kubadilika kama haiwezi kukidhi mahitaji ya Siclair.he was clear kwamba wao watafaidika na washikaji zake kabla jogoo hajawika maneno yake yamekuwa ya kweli kwamba madini sasa wao watapeta na sisi tutalia .
 
Hapo mtawakoma mitaani! Kwi kwi kwi!!!
Wazee wa Usalamaa.....walishazoe kuimbwa katika band.yes mie siogopi kima yeyote na huwa nawaambia,watumie mapema ila hivi karibuni ndiyo mwisho wao.

Unajua Usalama kumejaa Vilaza na watu wa ovyo sana wasiyo na mawazo endelevu thus why we always dont here any breaking News from them.wapo kama masanamu
 
Sheria madini haiwezi kubadilika kama haiwezi kukidhi mahitaji ya Siclair.he was clear kwamba wao watafaidika na washikaji zake kabla jogoo hajawika maneno yake yamekuwa ya kweli kwamba madini sasa wao watapeta na sisi tutalia .

Mwalimu Nyerere alishasema,ukiopna mtu anaiweka nchi mfukuni mwake ujue ana kiburi,Je nani anawapa hawa kiburi

there Beloved Leader is among the shareholders wa Tanzania Explorers and the chairman is Sinclair what do you expceting from them??Al fasad

1.Kwanini Mnatufanya wapumbavu kiasi hiki?
2.kwanini msituachie nchi yetu kama hamuwezi kuleta mabadiliko?
3.kwanini mnalazimisha mapenzi na sisi wakti nyie mmeshaathirika na Ufisadi??
4.kwanini hhamtupendi wana wa watanzania??
5.Kwanini mnapenda kutuzuga kwa vitu vya kijinga wakati siye si wajinga?

Yes I said Muungwana Should Step Down
 
kazi za usalama wa taifa

-Kuhakikisha kwamba viongo wa TA Ughaibuni ni wale wanao kiunga mkono chama cha CCM.Mfano mzuri we all know what happened in London na Usalama walishiriki moja kwa moja kuhakikisha watu ambao si wana CCM wanapigwa chini .
-Kuwakamata wapemba kwa kutoa mawazo yao .
-Kuhakikisja CCM wanapitisha kwao pesa za kuhonga na kushinda uchaguzi
-Kuiba kura
-Kuzuia sauti za wananchi kusema ukweli
-Kuhakikisha Sinclair na wezi wenzake wanaiba kwa amani bila kuhojiwa
-Kushiriki uuazaji wa Nchi
-Kuwakamata wana JF kila wakijarubu jambo
-Kula mikakati ya kuwaumiza wapinzani

Mengine mtaendelea nayo wenyewe
 
Katika juhudi za kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani, Serikali, kupitia TRA,imefanya uchambuzi wa misamaha ya kodi kwa lengo la kuipunguza ili kuokoa mapato ya Serikali. Uchambuzi huo umebaini kwamba misamaha yote ya kodi inatolewa kwa mujibu wa Sheria. Sehemu kubwa ya misamaha
inatolewa kwa wawekezaji katika sekta ya madini chini ya Sheria ya Madini na Mikataba husika, wawekezaji katika sekta nyingine wanaopewa Hati za Vivutio kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) chini ya Sheria ya Uwekezaji.
Kundi lingine linalofaidika na misamaha ya kodi ni lile la Mashirika ya dini na asasi zisizo za Serikali, na hasa zile zinazotoa huduma kwa ajili ya maendeleo ya jamii. Hata hivyo, kodi zinazosamehewa kwa kundi hili zinalipiwa naSerikali kwa utaratibu wa Hati ya Hazina[/B]

Gembe,

Soma tena kipengere cha mwisho kwa utulivu ( btw the lines) utakuta neno kundi hili linarejea kundi la mashirika ya dini na sio makampuni ya madini.
 
Kazi yao kubwa ni kulinda Vyuo hivi visipatwe na matatizo

1.Benjamin Mkapa Institute of Political Entrepreneurship and Openness
2.David Balali School of Central Banking and Foreign Debt Management
3.Andrew Chenge College of Applied Contractual Law
4.Ali Hassan Mwinyi University of Inflation Control
5. Karamagi Institute of Mining Licensing and Administration of Mining
Contracts
6.Zakia Meghji college of Tourism and Protection of Public Funds and
Natural Resources

7.Ditopile Mzuzuri School of Conveyance and Welfare of Public Drivers
8.Jk School of unseriousness and irresponsible
9. Mkono Institute of Legal Fraud Prevention
10 Lowassa School of Prevention of Fake Companies
 
Wazee wa Usalamaa.....walishazoe kuimbwa katika band.yes mie siogopi kima yeyote na huwa nawaambia,watumie mapema ila hivi karibuni ndiyo mwisho wao.

Unajua Usalama kumejaa Vilaza na watu wa ovyo sana wasiyo na mawazo endelevu thus why we always dont here any breaking News from them.wapo kama masanamu

Hivi RO kapunguza kinywaji? Kinywaji kikizidi kinalemaza akili, mwanzo wa ukilaza. Heri ndugu yangu FMES hagusi kabisa.
 
Gembe,

Soma tena kipengere cha mwisho kwa utulivu ( btw the lines) utakuta neno kundi hili linarejea kundi la mashirika ya dini na sio makampuni ya madini.

Unadhani nani anafidia misamaha ya kodi ya hawa wenye madini,wewe ndiyo inabidi usome vizuri.Huu ni mmoja ya usanii wa maandishi wa serikali hii.

kama hawalipi Kodi katika Mafuta ambayo siye tunalipia kwa bei ya juu,nani anafidia ??
 
Back
Top Bottom