Bajeti ya Magufuli yamtishia Mkullo

jamaa anavyopenda sifa mbona tutamkoma wanazidi kumjengea mazingira mazuri ya 2015 bila wao kujua

Magufuli hana usanii, anatenda kile anachokiamini siyo kutafuta umaarufu! Utendaji wa Magufuli siyo wa mazoea bali anatekeleza vile mipango ilivyopangwa hana longolongo. Mmalawi Mkulo yeye ni kujipendekeza na kusema uongo kwa kuogopa kuambiwa yeye siyo mtanzania!

Mwacheni Pombe afanye kazi kwani wananchi wana amini sasa barabara zitajengwa kwa viwango na kwa wakati bila hata kuliwa pesa yao, tofauti na kipindi cha Chenge na Kawambwa!
 
Mkullo expresses the true color of CCM.....hawapendi maendeleo ya kweli ya watanzania!!
 
Mbona magufuli anawekewa vikwazo kila mara?kama vyanzo havitoshi watoe kwenye account ya mkulo au wakamkope mzee wa vijisenti
 
Back
Top Bottom