Bajeti ya kifo

mjunguonline

Member
Mar 10, 2011
73
5
Wakuu,nafuatilia kwa umakini hii bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013,ni bayeti ya kukomoa,kuanzia Mawasiliano,Pombe,Sigara,Magari,vimepanda....

Mbaya zaidi huyu Waziri wa fedha anasoma huku anacheka,ini hali akijua kuwa inaumiza wananchi...Lengo la Bajeti hii ni kuongeza Pato la Taifa na Kuongeza ukali wa Maisha...
Nawasilisha...
 
Nimekimbia kufungua post nikifikiria wamepandisha bajeti ya kifo kumbe la.
 
kwa mara ya kwanza namsikia dr bana akisema ukweli
ameiponda bajeti haina jipya,haifafanui namna ya kupunguza matumizi ya serikali
ameponda mfumo wa usimamiaji na ukusanyaji wa mapato ya serikali.
haina jipya
kutoa exemption kwa mfanyakazi wa serikal anapoagiza gari ni kuzidi kumkomoa mwananchi
kwa kweli ni bajeti ya kifo haina jipya nchi itazidi kukopa zaidi na umakini utaongezeka zaidi.
 
Nimekimbia kufungua post nikifikiria wamepandisha bajeti ya kifo kumbe la.

Nani akupandishie Bajeti Mkuu.....Ni mwendo wa Mkopo Mwanzo,Mwisho.....Serikali Imekopa hii,sijapata Ona Duniani...Kiukweli tumeshauzwa....
 
Back
Top Bottom