Bajeti ya "Eat more fruit"

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Inasikitisha sana kutenga bajeti ya Trilioni 15 lakini mwisho wa mwaka tunaona VX za waheshimiwa nyingi kuliko Zahanati licha ya kelele za viongozi wakubwa kuwa Serikali haitanunua tena Mashangingi. Ufisadi mtupu kila kona.

Wakurugenzi wa halmashauri wanatafuna pesa kama mchwa kupitia bajeti hiyohiyo, wanatengewa fedha nyingi baada ya kuhonga kamati za Bunge.

Leo tutarajie kusomewa bajeti yenye kauli mbiu kama hii.....

'Eat more fruit!' the slogans say,
' More fish, more beef, more bread!'
But I'm on Unemployment pay
My third year now, and wed.

And so I wonder when I'll see
The slogan when I pass,
The only one that would suit me,
' Eat More Bloody Grass!'
 
tanzania eeh, nakupenda eeh, nchi yng eeh....... Ukisoma vitabu vya waandishi wa africa vitu vingi vinatokea.
 
Wadau tupeni update za bunge.niko porini nasikia habari zisizo rasimi bunge limeairishwa hadi kesho ni kweli??pls
 
Back
Top Bottom