Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

These guys should be serious... wanapunguza muda wabunge ile kulinda maslahi yao na kusingizia kupunguza garama.. gharama zipi wanazoziongelea hapo.. hilo bunge ndio wameona linatumia hela nyingi kulikosafari zaoza kwenda nje zenye kubeba baraza zima la mawaziri?? JK should be ahsamed of himself..muda wa kuchekacheka ufikie wakati atambue umeisha...
 
Angekuwa serious angeanzia kwa kupunguza safari zake zisizo na tija.
 
Date::6/8/2009
Bunge la bajeti lafupishwa Kikwete kuhutubia wazee, wabunge

Wakati ratiba hiyo ikionyesha idadi ya siku za vikao hivyo kupungua kesho Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwahutubia wabunge wote na wazee wa mkoa wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini hapa baada ya kipindi cha maswali na majibu.





Sijui kwa nini asiutubie audience ya Vijana wa Dodoma (ambao ni sehemu ya taifa la kesho). Wazee wetu hawa kimsingi wao ndiyo wametufikisha hapa tulipo. Hawana jipya - wataishia kumpogeza kwa achievements ambazo hana/si zake.
 
Wanaendekeza u-ccm kwenye masuala ya nchi, wazee wa nini?

Yaani inasikitisha kuona kwamba hatupevuki kimtazamo, wanataka ku-rush bajeti ipitishwe bila watu kuisoma kwa umakini.

Kilio ni kile kile safari za nje zisipunguzwe bali zifanywe kwa kiwango kidoooogo, kifuuupi chenye tija kwa taifa. Ukisema apunguze anaweza akapunguza kwa asilimia 1 tu then akakwambia nimepunguza.
 
Mimi nafikiri sasa tanzania tumefikia pabaya sana, kama bunge la bajeti linaweza kujadiliwa kwa siku chache hivyoo kweli hawa wawakilishi wa wananchi watapata muda wa kutosha kujadili kwa kina bajeti hiyo! na mazungumzo na wazee wa dodoma na wabunge wapi na wapi, let us get seriuos jamani, JK unaongoza nchi bwana siyo soko la kariakoo ebo! Get serious!
 
Cha msingi hapa ni kwamba Muungwana ana nini cha kuwaeleza Watanzania waliochoka kabisa, umaskini umewazengea hadi kwapani, lakini pia kwa nini anazungumza na wazee na siyo vijana ambayo ndiyo hasa walikuwa chaguzo lake dhidi ya wazee mwaka 2005. Si mnakumbuka jinsi ambavyo wazee wa green walivyotaka kumpiga dafrao

Lakini pia ana miaka minne sasa yaani asilimia 80 ya muda wake wa awamu ya kwanza ya utawala wake, amefanya nini ambacho anaweza kujivunia.

Pia tunampa alama ngapi kati ya kumi, kama urais wake ni sawa na kazi ya darasani ya mwalimu wa hesabu?
 
Whether wabunge wamechangia mwezi mmoja au mitatu tumeona miaka yote wakipiga kelele lakini mwisho wa siku wanaipitsha kama ilivyo. wanachofanya zaidi ni mchezo wa kuigiza ili waonekane na wapiga kura wao kuwa wanawatetea. cha msingi wengi wao (Ukiondoa wachache wenye uchungu na nchi hii) wanachojali ni matumbo yao
 
Ah wabunge wetu wanashangaza kila siku, eti saivi 2010 inakaribia wanajifanya wanaumwa na majimbo yao. pretenders!!
 
Lets be serious!!! Bunge kupunguziwa muda ni sahihi hata kama ni kwa maslahi ya watu binafsi ni bora kwani cha maana walichokifanya miaka yote hiyo ni nini kama si kula pesa yetu na kujadili mambo yasiyo na mwisho wala kuleta manufaa kwa wananchi. tumewatuma wakafanye kazi sio kuleta lelemama hapa. sasa labda wataweza kujadili safari za mkuu na kuzirekebisha ili kupunguza gharama zisizo na msingi.Ulaji umekwishne!!!!!
 
Kweli hapa kazi ipo. naona Sasa JK anataka kuwamaliza kimya kimya

jk bwana ..nadhani huku ni kuwanyima wananchi demokrasia na muda wa hoja kuchambuliwa vema..yaani bajeti zitakuwa zinapitishwa tu.....kwa nini asingepunguza ziara zake za nje ambazo kila akienda anatumia dola milioni 2........na ameshafanya ziara karibu 50.......

acha ziara za ndani na ufujaji mwingine unaofanywa.....
 
kama ningekuwa mbunge ningepiga usingizi wakati jamaa anaongea ujinga!!


hataingia bungeni kuuhutubia .....zaidi ya kuhutubia wazee...

hakufuraahishwa na vijembe alivyopigwa na spika sita mara ya mwisho alipohutubia......badala ya spika kumsifu kama ilivyo kawaida ...alimwambia ""ongeza ukali kidogo..."""....kama mwalimu wa primary anavyo comment kwenye ripoti ya mwanafunzi...kilikuwa kitendo cha udhalilishaji sana kile..
 
Good technique, probably can help, but its too late! Whats so special can he say!
 
Ah wabunge wetu wanashangaza kila siku, eti saivi 2010 inakaribia wanajifanya wanaumwa na majimbo yao. pretenders!!


Of course lazima wa-pretend! Watakulaje 2010? Shame on their bellies! God Bless the few determined with patriotism. they ll make it for sure!
 
The URT Government's long-term economic goal is to secure and maintain economic stability, in order to achieve its objective of a fair society where there is security and opportunity for all.

The world economy was hit by a succession of shocks during 2007 and 2008, with the financial crisis of late 2008 leading to a steep and synchronised global economic downturn.
Recessions are being experienced in most of the world's major advanced economies and the world economy is set to contract by 1¼ per cent in 2009, the first fall in the post-war period.

The Government is delivering a comprehensive package to support economic recovery in the URT, while ensuring sound public finances. Budget 2009 provides further targeted support to households and Agriculture.Is it possible????
 
Kuuliza si ujinga!!!

Wachumi naomba mnisaidie, hivi bajeti inapoongezeka kwa asilimia 32 % ina maana gani?

Literally, nilifikiri uchumi wetu unakuwa katika hicho kiwango, which is not possible.

Then, nikafikiri ni kwa kushuka thamani ya pesa yetu, lakini nafikiri haijashuka kiasi hicho.

Sasa, JK na Mkulo wameniacha kwenye mataa maana hata pesa za misaada zimepungua kutoka kwenye 40 % mpaka 30 %.

Kuna wataaramu wengine washaipinga na kusema ni ya kisiasa lakini hawakufafanua kivipi.

Tafadhari Wachumi, msaada kwenye tuta??
 
Rais Jakaya Kikwete, amemaliza kulihutubia taifa live kutokea ukumbi wa Kilimani hapa mjini Dodoma.

Ametangaza Stumulus package ya Shilingi Trilioni Hotuba hii inatangazwa moja kwa moja na TBC Taifa, TBC One na Star TV. ITV pia wanaonyesha kupitia Star TV, Channel Ten na TV wamejiunga kupitia TBC-1.

Mpaka sasa ukumbi wa Kilimani umefurika, mpaka watu wengine imebidi wabaki nje, kundi kubwa la watu ni wana CCM ambao wamevalia sare unaweza fikiri ni mkutano wa Chama.

Waheshimiwa wabunge, wamekuja karibu wote hali inayoashiria kulitolewa kama kaji amri fulani lazima wawepo.

Rais alihutubia akiwa kati ya Makamo wa Rais na Waziri Mkuu..

i416_BudgetTanzania09.jpg
 

Attachments

  • HotubaBajeti_JK_09.zip
    304.6 KB · Views: 75
Last edited by a moderator:
Asalaam Aleykum, Bwana Asifiwe.
Wakati wowote kuanzia sasa, Rais Jakaya Kikwete, atalihutubia taifa kutokea ukumbi wa Kilimani hapa mjini Dodoma.

Hotuba hiyo itatangazwa moja kwa moja na TBC Taifa, TBC One na Star TV. ITV pia watajiunga kupitia Star TV, Channel Ten na TV watajiunga kupitia TBC-1.

Mpaka sasa ukumbi wa Kilimani umefurika, mpaka watu wengine imebidi wabaki nje, kundi kubwa la watu ni wana CCM ambao wamevalia sare unaweza fikiri ni mkutano wa Chama.

Waheshimiwa wabunge, wamekuja karibu wote hali inayoashiria kulitolewa kama kaji amri fulani lazima wawepo.

Makamo wa Rais na Waziri Mkuu pia watakuwepo.


Sasa sare za kijani za nini? mi nadhani kuna umuhimu wa kuliangalia upya hili swala la kofia mbili. Ndo maana mambo mengi yanakwenda ndivyo sivyo kwani chama huyo huyo, nchi huyo huyo hakuna wa kumsaidia mwenzie.. linalotoka ni hilo hilo, liwe zuri ama baya..

Anyway wacha tusubilie hizo pumba/mchele ...
 
Naona ndiyo ameshakaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dom. Ngoja tusikilize kama kuna lolote la MBOLEA
 
Back
Top Bottom