Bajeti sasa yamtegemea Lady Jay Dee

Kundi la Bilal Islamic sound nasikia pia limealikwa kuimba kaswida siku hiyo, wameshaanza kufanya mazoezi ya kunoa sauti zao huku Sandali
Magamba utawajua tu kwa dalili mbili-kutoa hoja zilizo na harufu ya kidini na kuutetea upuuzi hata kama watu wote wengineo wataprove kuwa huo ni upuuzi. So jiangalie ikiwa una dalili hizo then jivue gamba lako la upuuzi mkuu.
 
Mkuu niliposikia yule waziri anajibu zile pumba nilitaka kuvunja hata TV.............Kwa hakika baraza la mawaziri la sasa lina vilaza wengi mno......angalia hawa........
  1. Haji Mponda
  2. Omari Nundu
  3. Mkuchika
  4. Nagu
  5. wasira
  6. Lukuvi
  7. Kawambwa
  8. to infinite..............
Mh! Ngeleja hayupo list hii!
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga

Acheni ushamba jamani, mbona hata nchi zilizoendeleazinatumia wakija Lady jay dee wao kuchangisha hela? sasa kinachowafanya mshangae ni nini?

Wacha uwongo; Marekani hawanyi fundrising kwenye miradi ya serikali! Wanafanya hivyo kwenye majanga ya asili (kama vimbunga na mafuriko) na mambo ya kisiasa kama michango ya kusaidia uchaguzi, siyo mambo ya kiserikali.
 
Acheni ushamba jamani, mbona hata nchi zilizoendeleazinatumia wakija Lady jay dee wao kuchangisha hela? sasa kinachowafanya mshangae ni nini?

Sidhani kama tatizo ni kumtumia JD or not. Kwangu mimi sidhani kama kumtumia JD na wanamuziki kutoka Marekani ndio kutawasaidia kutimiza lengo. Kwani tatizo llililofanya wasimalize hiyo hospitali toka 1985 lilikua ni kukosa wasanii wakuchangisha pesa? Sidhani hata kama wana jua tatizo ni nini wao wanabuni solution. Huwezi kuwa na good plan bila ku-identify problem. Problem identification ndio inakusaidia kujua opportunities (cost effective) opportunities) ulizonazo then you narrow them down ndio uje na strategy. Sasa huyu waziri opportunity aliyoiona tu ndio hiyo aliyoitaja; lakini watanzania wa-leo wanafahamu wazi serikali yetu imeshindwa kutumia vizuri vyanzo vyake vya mapato (hili tumeshalizungumza hapa), inaweka nguvu nyingi kutetea un-necessary spending (e.g. posho), lakini inashindwa kuweka priorities kwenye issue kama hizi za hospitali kuhakikisha kuna-reliable funds. Hili kwa kweli ni tatizo.
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Acha ujinga ww, kodi anayolipa mwanamuziki wa marekani mpaka unamsikia katoka ni mshahara wa mawaziri wako na posho zake
 
Kama Rais wao kwenye kampeni alimchukua Diamond we utegemee mawaziri wake wamchukue nani?
 
Mawaziri wetu maswali magumu majibu mepesi! Commitment ya wananchi toka 85 eti sungura wetu mdogo, afu kibaya bora angesema tu fundraising kuliko kutaja kabisa wanamuziki tena kwa jina eti JD, what? Jamani pale wananchi wanapoonesha nia serikali uongoze njia. Ni kama ile milioni sita ya mradi sijui gani wa maji kwa hospital flani huko msoma alosema mbunge flani, u si utani? Izo maposho zetu simnge anza fundraising hapo hapo mjengoni? Usitutanie bana
 
Fund raising Tanzania!!!KUna fund raising ilifanyika 2009,ikijulikana kama white ribbon fundraising ikiongozwa na first lady pale moven pick,ilikuwa aibu tupu.Super model naomi campbell ndo alikuwa mgeni rasmi.Mwisho wa siku walifanikiwa kuraise 10,000 usd,kiasi ambacho nafikiri hakifikii hata gharama za kumleta naomi...what a shame!!sasa jay dee si ndo wataraise 10,000 tzs au?
0e1b71c85425d16b_2.jpg
http://www.google.co.tz/imgres?imgu...=572&gbv=2&tbm=isch&ei=y28PTtTXGszusgaZkv2IDw
ningekua mimi waziri mponda ningeachia ngazi kwa kuiaibisha serikali kiasi hiki
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Acha mzaha wewe, unataka kusema kwa mfano marekani wakitaka kufanya any serious undertaking kama vile kujenga Hospitali ya umma au kwenda vitani wanatembeza bakuli kwa wanamuziki? Na kodi wanazolipa raia je zitaafana kazi gani?
Ukweli ni kwamba ni serikali ya Tanzania tu inayohamasisha watu wachangie kila kitu, kuanzia madawati mpaka ujenzi wa madarasa na shule wakati kodiza wananchi zinatumbuliwa na kuvimbisha matumbo ya watu wasio hata na shukurani. Tulijitolea kwa hali na mali enzi zile za Mwalimu kujenga kwa kuchangia nguvukazi kwa sababu hata ungewatazama machoni viongozi wa wakati ule unapata ujumbe wa wao kuwa "Serious", Je, leo ni kiongozi yupi unaweza kumidentify ndani ya CCM ati ana uchungu na fedha ya walipa kodi? Hapa ndipo ninapowaunga mkono CHADEMA katika hoja kwamba ni jukumu la serikali kupanga na kutumia kodi kwa ajili ya maendeleo yetu na si kuhamasishwa kujitolea kisha fedha iliyokusudiwa kwa kazi husika kuvimbisha matumbo yasiyoshiba ya hawa jamaa wavaa magwanda ya kijani.
 
Kweli tupu borther. Serikali inakusanya kodi nyingi sana, lakini kila kitu inataka nguvu za wananchi. Ujenzi wa madarasa, ujenzi wa vyoo vya shule, hospitali nakadhalika. Wakati huo huo wafanyakazi wanakamuliwa kila mwezi mara income tax, pay as you earn, nk. Kwenye magari ndo usiseme... kodi kibao!! mara insurance, Road licence, Sumatra, Wiki ya nenda kwa usalama, fire extinguisher inspection fee, nk. Kiasi kwamba sticker zinajaa kwenye windscreen. Itafika mahali dereva anashindwa kuona kwa wingi wa stickers
 
Back
Top Bottom