Bajeti sasa yamtegemea Lady Jay Dee

Hivi na wewe wanakuita great thinker au sinker kwanza fund rizing ni kitu gani, unaijua bajeti ya marekani au unaidhania, unafikiri ni kama bajeti ya fiesta ya kuendeshwa kwa fund raising ya wanamziki poor thinking at its best.
Hapa suala siyo bajeti ya marekani! Naona unadakia tu mambo juu kwa juu bila kuelewa! Miradi ya kijamii ya marekani yote inakuwa financed na serikali? Kuna nchi duniani yenye foundations nyingi kama marekani? Katafute data uje na siyo ubwatuke bwatuke tu
 
Hahahahaaaaaa.......asante kwa jibu MURUA......yaani jd hata ubalozi wa nyerere foundation hana......hiyo safari tu anapaswa kuwezeshwa japo anaenda kwao
wanamuziki wa marekani wana Lebo wewe acha ujuha. Jaydee ana Label gani ya kumfanya achangishe mpunga wa kujenga hospitali? hivi ukisikia Jay Z ni Balozi wa UN unadhani ni sawa na Machozi Band?
 
Mmh nina wasiwasi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo,watt km nyie hata mkipewa assignment ndogo tu mnashiwa ni sawa na shabiki wa mpira anavyomkosoa mchezaj akiwa uwanjan angal yy hajaw cheza hata mechi ya utoton
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapa suala siyo bajeti ya marekani! Naona unadakia tu mambo juu kwa juu bila kuelewa! Miradi ya kijamii ya marekani yote inakuwa financed na serikali? Kuna nchi duniani yenye foundations nyingi kama marekani? Katafute data uje na siyo ubwatuke bwatuke tu
Kwani data zako ziko wapi?
 
Mmh nina wasiwasi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo,watt km nyie hata mkipewa assignment ndogo tu mnashiwa ni sawa na shabiki wa mpira anavyomkosoa mchezaj akiwa uwanjan angal yy hajaw cheza hata mechi ya utoton
Wewe utachoka kubadili majina juzi tu umejiita Engineer.
 
Kwani haujatambua kuwa serikali inaongozwa na Ruge Mutahaba? ,Hilo ni dili lingine la Ruge kupitia Serikalini , hapo ni kuchangisha fedha kwa kigezo cha kutengeneza faida ili wachangie ujenzi wa Hospitali lakini chini ya carpet ni ulaji wa nguvu, Sawa tuu na lile dili la eti Flaviana Matata foundation , angal;ai nani yuko behind it hahahaha! Wadanganyika oye!
 
Kumbe ruge ndiye anayeiongoza nchi..?????????
 
Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!

Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.

Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga

Wewe ndio unatakiwa kuacha unazi wa kijinga, serikali ya marekani hawafanyi fund rising kwa ajili ya ujenzi wa hospitali kupitia kwa wanamuziki, sana sana utawasikia wanamuziki ndio wanaandaa fund rising kwa ajili ya kusaidia uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kama watoto yatima, majanga n.k

Sasa serikali yako imeshindwa kutengfa fedha za ujenzi wa hospitali wakati wananchi wamejitolea sana nguvu zao na rasilimali zao halafu wewe unaleta ushabiki wa kipumbavu tena!!
 
Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!

Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.

Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.

Bila shaka utakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.

wananchi wamejichangisha sana tangu 1985 lakini serikali haijawekeza chochote kuhakikisha hospitali hiyo inakamilika.

kanisa katoliki waliomba wakabidhiwe majengo yale wayakamilishe na hospitali iweze kuhudumia wananchi lakini serikali ikakataa kwamba iko tayari kuikamilisha, sasa kuikamilisha kwenyewe ndio kutegemea lady jd awajazie bakuli wakati wanatoa misamaha ya mabilioni.

kweli ukiwa ccm ama mshabiki wa ccm akili yako inakuwa imbalanced.
 
baada ya kumsikiliza jana huyo waziri nilihuzunuka sana..........yaani ni upuuzi mtupu
 
hawa mawaziri wangekuwa kila siku wanapigwa aswali ya papo kwa papo ingekuwa balaaa....maana hata lukuvi jana alipaka rangi upepo kwakusema eti tsh. million 2 ni kwa ajili ya kukarabati madaraja na barabara zilizoko nyumbani kwa waziri mkuu........upuuzi wa mwaka
 
Bila shaka utakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.wananchi wamejichangisha sana tangu 1985 lakini serikali haijawekeza chochote kuhakikisha hospitali hiyo inakamilika.kanisa katoliki waliomba wakabidhiwe majengo yale wayakamilishe na hospitali iweze kuhudumia wananchi lakini serikali ikakataa kwamba iko tayari kuikamilisha, sasa kuikamilisha kwenyewe ndio kutegemea lady jd awajazie bakuli wakati wanatoa misamaha ya mabilioni.kweli ukiwa ccm ama mshabiki wa ccm akili yako inakuwa imbalanced.
Nakushangaa wewe uliye balanced unashindwa kuelewa kuwa hata hilo kanisa linangoja michango ya bakuli na ruzuku za serikali. Unanchekesha!
 
Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!

Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.

Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.
Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!
hospitali ilianza kujengwa 1985 kwa hiyo JD akifanya fund raising jengo linaweza kwisha 2015
baada ya hapo bajeti ya 2015/16 serikali itamwita tena Kingwendu kufanya fund raising ya vifaa na vitanda
ni mipango mizuri ya sera za CCM.
 
stupid minister

watapa kiasa gani kwa hiyo fund rising? waolengwa ni kina nani kutoa hiyo michango?
kama ni wana musoma wenyewe kuna haja gani ya kuwapelekea wanamuzi kutoka marekani?

hayo mamilioni ya kuleta mwanamuziki kutoka marekani yanatosha kuweka wodi kadhaa
 
Back
Top Bottom