Bajeti kiduchu kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Katika hali ya kusikitisha serikali imetenga kiasi kidogo cha fedha kwa bajeti ya 2012/2013 kwa ajili ya chuo kikuu cha Dodoma. Imebainika kuwa Tsh. 175 million zimetengwa kwa ajili matumizi mengineyo (Other charges) na Tsh. 3.3 billion kwa ajili ya maendeleo (Capital dedelopment). Fedha ya matumizi imebainika kuwa inatosheleza malipo ya umeme na maji kwa mwezi mmjoja tu na fedha ya maendeleo ni kwa ajili ya kumalizia miradi iliyopo tu.

My take: Serikali ilianzisha mradi huu mkubwa na ikaahidi kuukamilisha ifikapo 2015, sasa unaelekea kukwamia njiani.

Source:Resolutions of 26th Executive Committee of Council Meeting Held on 11th June, 2012
 
Vyuo vinavyoanzishwa kisiasa na kutaka sifa za kijinga ndo haya matokeo yake, wao walidhani kitazaa makada wa ccm na wataendelea kuwanunulia fomu za kugombea urais, UDOM imechukuliwa na M4c tofauti na malengo yao
 
Back
Top Bottom