Bajeti kambi ya upinzani na kukatika kwa umeme.

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Wanajf nipo hapa Dom kufuatilia mchakato wa bajeti. Sikubahatika kuingia mjengoni leo nikijiridhisha kufuatilia kupitia tv. Mhe Chenge..mwenyekiti kamati ya fedha na uchumi alipokuwa akihitimisha ili kambi rasmi ya upinzani ianze kutoa mapendekezo ya bajeti umeme ukakatika gafla hapa Dom, na mpaka sasa haujarudi. Kulikoni hawa tanesco? Je kuna mkono wa kigogo hapo ili wananchi wasisikie mapendekezo ya wapinzani? Wawasilisha.
 
Back
Top Bottom