Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
Malecela mi sijakusoma kabisa mkuu wangu, unazungumzia matatizo katika ukusanyaji wa mapato ya serikali (hasa kodi) au unalalamikia malalamiko ya wananchi kuhusu "posho ya makalio" wanayolipwa wabunge wetu? Sioni uhusiano wa Heading yako na content! Majibu yako rahisi kwa swali gumu ni kufuta Vyama vya SIASA?
Nionavyo mimi, pamoja na serikali kupoteza pesa nyingi kutokana na uzembe au wizi wa Viongozi flani, bado hata yale mapato tupatayo hayapangiwi matumizi kwa kufuata vipaumbele; sasa hivi vikao vimeongezeka katika kila idara (Posho za Makalio). Tunatumia pesa nyingi mno katika "michakato", na AMA kweli tunapoteza pesa nyingi mno katika mishahara ya VIGOGO isiyokatwa kodi na kukuta "waalimu" ndy wachangiaji pekee wa kodi!
Nyie vijana mliosoma msikimbilie NEW YORK na kubaki kulalama tu, RUDINI NYUMBANI MJENGE NCHI tuwaone, huenda "mkatukomboa" kama wakina "Makamba Jr".