Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,843
2,117
tangazotangazo
pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji)aina ya tvs king inauzwa.imetumika kwa mwaka 1 na miezi 3, iko katikahali nzuri.bei tsh 3,600,000 – mazungumzo yapo.piga simu: 0755252263
 
Hizo Bajaj zina depreciate kwa 50% p.a, umetumia mwaka 1 na miezi 3, depreciation kwa mwaka 1 na miezi 3 ni Shs 3,125,000, assuming ulininuna kwa Shs 5,000,000 baada ya mwaka 1 na miezi 3 unatakiwa uize kwa shs 1,875,000.
Sasa wewe hiyo bei ya kuuzia Shs 3,600,000 umeitoa wapi?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
ndio hizi unaweza kuwasha bila funguo eenh!!??... Nlisikia ukinasisha sarafu ya mia mbili chini ya starter ukachezea kidogo tu kitu kipo ON
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom