bajaji haijai

Niko mapangoni Chechnya huku muzeya....Nataabika balaa. Netiweki kaputi lakini bibie ananipa yote nayomwomba.

Wewe si niliskia umejipiga ban ya muda mrefu tu, sasa umeibukia wapi tena!!? arghhhh, naona mpango wangu unaelekea kufeli sasa!
 
rickshaw-overload.jpg

nyuma imefungwa tairi ya hiace, lazima uikubali tu

Hii sio Bajaj ni Bajaza
 
Back
Top Bottom