Bajaji Bajaji

we upo mkoa gani mkuu?? unahitaji bei ya bajaji mpya au used? Mchina au za India?? Pia nakushauri uende kariakoo mwenyewe kuliko kuulizia ilikhari upo Dar hapa hapa, kwani itakupa experience, uchaguzi mzuri wa bidhaa bora na kufanya maamuzi zaidi ya manunuzi yako.
 
Nipo Dar but nimepita maduka mawili tu posta mpya na sigara,nataka ya bei nafuu ambayo naweza kuimudu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom