Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bei gani?
bajaji tairi tatu inauzwa, bei nafuu sana, iko ktk hali nzuri, inatembea ni two stroke. mwenye kuitaji ani PM.
ipo.......hata hii hujui? sasa unajua nini wewe!!samahani naomba kujulishwa.
Kuna bajaji tairi nne?
OTIS
ipo.......hata hii hujui? sasa unajua nini wewe!!
Usije ukawa unaninunulia mie! Nshakuambia nataka GX 1,000, usinitanie!
Bajaj zipo ata za matairi mawili(two wheelers), unashangaa!!!!!.
ipo.......hata hii hujui? sasa unajua nini wewe!!
Orait........Duh!! we uko juu:
yangu ni Two Stroke, muundo ni kama hii uliyoonyesha yenye rangi ya kijani lakini ya kwangu ni nyekundu, ukitaka kuiona piga namba 0755986994