Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Hili ni neno la kiswahili lakini sijui hasa linalenga kitu gani.Nilizaliwa nikalikuta linatumika nasikia watu wanasema,"aaah jamaa amepata bahati ya kupata mke mwenye tabia njema" au unasikia "aaah yule dada amepata bahati ya kupata kazi kwenye ile kampuni".Jamani naombeni walau kidogo mnisaidie,Bahati ni nini?Ni kitu gani?Inatokeaje?