baharia

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
jamaa mmoja alijifanya baharia akawaambia watu aisee nimezunguka bandari zote duniani China na Africa yote
ulaya marekani akaulizwa kwahiyo unaijua sana geografia jamaa akajibu pale geografia tulikaa wikimoja ila sikuteremka melini nilikuwa naumwa
 
Hiyo niliisikia lakini ilikuwa si "jamaa mmoja" ilikuwa ni Karume.
 
Back
Top Bottom