Bagia. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,771
59,120
Nani anapenda. . .nani hapendi?

Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
 
Nani anapenda. . .nani hapendi?

Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.

Lizzy mambo ? Na wewe kwa kupotea jamvini siku hizi !
Umekua nadra sana , mie nilikua nataka kujua hii bite hua inanichanganya hua ni Bagia au Bajia ?
 
zenye mchicha? Hizi ndo nazisikia kwako.... Kweli kuna mapishi mengi sana duniani........
 
Ni badia, ila wengine wanaita bagia au bajia.
Izo huku kwetu ndo zinakorombezwa usipime, kuna zinotiwa mchicha, kotmiri, nanaa.
Kuna na zile za dangu zinatiwa mpk kuku na bilingani, mh! Utamu wake utajiramba
 
Nani anapenda. . .nani hapendi?

Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
Nilikuwa Dar siku moja nikaagiza chips, na zenyewe zilikuja zikiambatana na mchicha!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom