Baghdad car bomb attack rips through Iraq's already failing hopes

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
[h=1]Baghdad car bomb attack rips through Iraq's already failing hopes[/h]Soon after the pullout of US troops, an atrocity that has killed scores of people leaves an unravelling nation in deeper despair

Smoke-rises-from-the-site-007.jpg

Smoke rises from the site of a car bomb attack in central Baghdad, the worst violence seen in Iraq in months. Photograph: Mohammed Ameen/REUTERS

In the wake of the pullout of American troops, Iraq had been braced for a new atrocity. It arrived on Thursday with devastating familiarity.
Just before 9am, a first bomb thundered across Baghdad. Less than 30 minutes later, 16 explosions had ravaged the city, toppling buildings, slaughtering civilians and leaving a toll of dead and wounded by shattering a calm that had lasted a mere week since the US army left.
By the end of the day, at least 72 people had been killed and at least 217 had been injured. It was the second worst daily toll of the year, which once again underscored the capacity of militants to co-ordinate extravagant attacks at will.

Perhaps worse than the death count was the effect that the attacks may have on a country that many, both inside and outside of Iraq, believe is fast unravelling.

The blasts took place against the backdrop of a political crisis that led to the Shia-dominated government of the prime minister, Nouri al-Maliki, this week accusing the country's Sunni vice-president, Tariq al-Hashimi, of terrorism.

Sunni ministers have pledged to boycott cabinet meetings in retaliation and several Sunni provinces have made a claim for autonomy in an attempt to claw back lost political power.

Al-Qaida-inspired insurgent groups were quickly blamed for the blasts, which struck mainly in Shia and mixed areas.
Dr Lubna Naji was preparing to leave for work from her home in the east of the city when the first explosion crackled nearby. A bomb-laden car had been driven to the front of the public integrity commission building, killing 23 people.

She rushed to the Baghdad trauma centre, where dead and wounded were arriving. "By then there were multiple noises all across the city," she said. "There were amputated limbs, shocked patients, severe internal injuries and general chaos. Everybody tried to help out."
Plumes of filthy brown smoke were soon dotting the skyline. Car bombs accounted for at least seven of the blasts. Apart from the commission, no key government facilities were targeted. Unlike recent strikes against Shia pilgrims, security force members and construction workers paid the heaviest price.

The bombers were able to reach all corners of the city, bypassing a network of concrete checkpoints manned by war-weary police holding bomb detectors that were once again found wanting. "It's become a distinguishing feature of Baghdad," said Naji. "In Paris they have the Eiffel tower, in London they have Big Ben. And all that we have in Baghdad are our car bombs.
"We have never been in a situation when we are going in the right direction."

The British-made bomb detectors used by Iraq's security forces were the constant subject of ridicule from the US military, which insisted they were based on junk science that could not detect explosives. Yet they continue to be deployed in a fight Iraq shows little sign of winning.
"I can't even look at them when I drive past a checkpoint," said Ahmed Majid of the small devices that look like a water diviner. "It makes me so angry to see them and what they are doing to this country."

Maliki said the attacks aimed to send a political message. "The timing of these crimes and their locations confirm once again to any doubters the political nature of the goals that those criminals want to achieve," he said.

"The criminals and those who stand behind them will not succeed in changing events or the political process, or in escaping punishment."
Maliki on Thursday met the US army chief of staff, General Ray Odierno, having previously talked to the CIA chief, David Petraeus, both of whom had travelled to Iraq as the political standoff with the country's Sunni power base escalated.

Both were former commanding generals in Iraq and had claimed that al-Qaida had been strategically defeated during their tenures. While Sunni insurgents can no longer control towns and cities in Iraq, they can still mount regular high-profile attacks, a reality that is shaping Maliki's hardening sectarian position.

"He will use this to say 'look, you can't trust the Sunnis'," said Munther al-Samarrie, from west Baghdad. "It plays directly into his hands."
By nightfall, Baghdad's trauma centre was still overrun with patients and Naji was returning for a second shift. "I still feel numb and empty," she said. "Such attacks used to make me feel so angry and frustrated, but now I just feel empty.

"Everyone is to blame when it comes to Iraq. Everyone has harmed this country really bad. The occupation made a mess, and as for our politicians, we know how they are, they just don't stop getting it wrong. And don't forget the Iraqi people themselves. They ate the bait, they fell into the trap.

"I just want a normal life, with safety, security, dignity and honour. I just want to survive."
 
136066827.jpg

Wakuu,

Mara baada ya US kuondoa majeshi yao rasmi huko Iraq, mambo yamezidi kuwa mabaya sana.

Iraq has never be the same and never will it be, at least not in the near future.

Ni wazi MSunni bado anadhani ni haki yake kutawala taifa lile na wanaona kuwa wamarekani ndo walikuwa kizuizi, however wa Shia nao sidhani kama watakubali tena kuipoteza influence yao ambayo sasa wamesha enjoy na pia wamejikita kwa kiujikusanyia silaha na more troops especially Mahd Army ya Sheick Muqtadar Al Sadar, na pia sapoti kutoka kwa ndugu zao waIran, ambao wali seize opportunity kutokana na ile misscalculation ya Bush iliyo wa empower mashia wa Iraki ambao ni ndugu zao...

Ni wazi Saddam alikuwa mbaya lakini uwepo wake ulikuwa wa muhimu kuliko kutokuwepo kwake hususan kwenye "balance of power on the region"

Suni vita yeye iko ndani ya damu, nina uhakika atapambana hadi mwisho na hata koma since wamarekani hawana jeshi kubwa huko na wameshajitoa rasmi kwenye issue za major operations.

Kwa upande mwingine kuna wale Kurdish ambao utajiri wa mafuta walionao na sovereignity basi nao wamezidsha mpambano mara baada ya US withdrawal, kwakweli ni chaos...

Is Iraq Falling Apart? | Battleland | TIME.com
 
Hao ni wamarekani ndo wanalipua, sio msuni wala nini

Mmarekani hawezi kulipua kwa sababu ana interest ya kufanya Iraq iendelee vizuri, anataka kujionyesha kwamba kajenga amani Iraq, na vita yake haikuwa bure, sasa kwa nini alipue?

Na hivi wanavyolipuana huko kichwa kinamuuma Mmarekani kwa sababu inaonekana kama vita kapigana miaka yote lakini hajafanya kitu.

Maliki na Hashemi washaanza kuwindana hata mwezi bado tangu wamarekani waondoke, wananikumbusha ule wimbo

"Hata mwezi badoooo, tangu tuoane, kelele kila siku ndani ya nyumba yetu maaamaa"

Ukiangalia sana utajua ni ma beef yao wenyewe waarabu, na kilichokuwa kinaweka peace ni Mmarekani kuwapo pale. Sasa kaondoka wanalipuana.
 
Mkama, cheki hii...

Sunni Vice President Tareq Al Hashemi, who is wanted on charges of running a death squad, blamed the crisis on Shiite Prime Minister Nuri Al Maliki, and accused the Iraqi leader of behaving like now-executed dictator Saddam Hussain. Maliki, meanwhile, has called for his Sunni deputy Saleh Al Mutlak to be sacked, and the Sunni-backed Iraqiya bloc, to which both Hashemi and Mutlak belong, has boycotted both parliament and the cabinet.
gulfnews : Iraq mired in dispute after deadly bombings
 
Mkuu kama mmarekani atakuwa analipuwa, hiyo ni yake, msunni naye analipuwa mkuu, fwatilia mjomba.
Haya ndiyo waliyoyataka Wamerekani na Washirika wake Ulaya ya Magharibi Mashariki ya Kati Kusiwe na Amani ili Israil awe yupo na amani kwanini Bush alimuondowa Saddam Husein? Hakutakuwa na amani huko IRAQ mpaka apatikane Saddam wa pili Waarabu wamezoea kutawaliwa kimabavu hakuna Nchi ya kiarabu yenye kufuata Siasa ya Ki Demokrasia Mkuu.
 
Tatizo hapo kuna kitu kinaitwa "Culture Clash". Mmaekani alivyoenda kumuondoa Saddam alifikiri ndio ataleta demokrasia na Amani, kumbe demokrasia inaenda kuwaweka kina Muktada al-Sadr anti-American messianic cleric types.Na loonie kama Maliki wanaoendesha serikali kama "Desperado".

Kazi wanayo.
 
Iraq fell apart when it was invaded by US and its allies.

You are so "I can't write it" to think that Iraq is falling now. What an "I can't write it".
 
Wakuu,

Mara baada ya US kuondoa majeshi yao rasmi huko Iraq, mambo yamezidi kuwa mabaya sana.

Iraq has never be the same and never will it be, at least not in the near future.

Ni wazi MSunni bado anadhani ni haki yake kutawala taifa lile na wanaona kuwa wamarekani ndo walikuwa kizuizi, however wa Shia nao sidhani kama watakubali tena kuipoteza influence yao ambayo sasa wamesha enjoy na pia wamejikita kwa kiujikusanyia silaha na more troops especially Mahd Army ya Sheick Muqtadar Al Sadar, na pia sapoti kutoka kwa ndugu zao waIran, ambao wali seize opportunity kutokana na ile misscalculation ya Bush iliyo wa empower mashia wa Iraki ambao ni ndugu zao...

Ni wazi Saddam alikuwa mbaya lakini uwepo wake ulikuwa wa muhimu kuliko kutokuwepo kwake hususan kwenye "balance of power on the region"

Suni vita yeye iko ndani ya damu, nina uhakika atapambana hadi mwisho na hata koma since wamarekani hawana jeshi kubwa huko na wameshajitoa rasmi kwenye issue za major operations.

Kwa upande mwingine kuna wale Kurdish ambao utajiri wa mafuta walionao na sovereignity basi nao wamezidsha mpambano mara baada ya US withdrawal, kwakweli ni chaos...

Binafsi naamini Iraq itagawanyika iwe kwa wazi au kwa namna nyingine. ( absolutely division or relative division). na haya hayatatokea kwa sababu ya tofauti za washia, wasunni, na wakurd, bali kwa influence ya Marekani na washirika wake.
Lengo la Marekani ni kuhakikisha inachota rasilimali za waarabu na huku ikiwalinda Israel. Lengo hilo haliwezi kufanikiwa kama mashariki ya kati kuna amani. Haliwezi kufanikiwa kama waarabu wana umoja. Kwa hiyo Marekani inahakikisha kwa namna moja au ingine inajaribu kuwatia mfukoni viongozi wa mataifa ya kiarabu kama ilivyoitia mfukoni Saudia. Na kwa wale viongozi wenye uzalendo kama viongozi wa Iran au Libya, Marekani inahakikisha inawatoa madarakani kwa njia yoyote ile.
Kwa kifupi ni kuwa Marekani haitakubali kuona Iraq inapata amani. Amani ikikosekana marekani inauza silaha, inapata kandarasi za kujenga miundo mbinu iliyoharibiwa, inachota mafuta inavyotaka,inapenyeza majasusi ambao wanashulika na kuandaa mgogoro kwenye nchi majirani, inatangaza soko la silaha nk.
http://battleland.blogs.time.com/2011/12/22/is-iraq-falling-apart/
 
Kurds (not Arabs) + Shiites (majority) + Sunnis (minority with power) = Civil War.

Truth is, they will only find peace when they separate religion from their state affairs, other than that, one group should wipe out the others to live comfortably.
 
aren't they all muslims?
 
Mmarekani hawezi kulipua kwa sababu ana interest ya kufanya Iraq iendelee vizuri, anataka kujionyesha kwamba kajenga amani Iraq, na vita yake haikuwa bure, sasa kwa nini alipue?

Na hivi wanavyolipuana huko kichwa kinamuuma Mmarekani kwa sababu inaonekana kama vita kapigana miaka yote lakini hajafanya kitu.
.
Interest ya Marekani ni kuona Iraq na mashariki ya kati kwa ujumla inakosa amani, ili umoja wa nchi hizo ukosekane, na hivyo iweze kuchota mafuta kadiri iwezavyo. na mataifa hayo yashindwe kupata kauli na uamuzi moja juu ya Israel. Amani mashariki ya kati itapatikana siku mafuta yakiisha, au Marekani ikifanikiwa kuwaweka viongozi vibaraka wanaoangalia maslahi ya Marekani na Israel badala ya maslahi ya wananchi wao. Kwa mfano mtu anaweza kufikiri Saudia kwa kuwa inatoa mafuta mengi ni nchi ya neema. ukweli ni kuwa wananchi wa saudia ni watu wenye shida. Na kuna amani kutokana na Marekani na vibaraka wake kuhakikisha kwamba hakuna uanaharakati wowote unaochipua.
 
You have all missed one important quotation "you're either with us or you are against us".
 
Back
Top Bottom