Bagbo should go by any means

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
6,831
14,188
Hivi kuna haja gani ya kuendelea kuwalea viongozi,wasio wahadirifu,wanao n'gan'gania madaraka,
Mwai kibaki alishindwa akakataa kuachia madaraka,watu wahadirifu wakaweka muhafaka,mambo yakaisha,Mugabe ndio kabisa anataka afie madarakani,

Bagbo nae yaleyale,suluhisho la madudu kama haya,ni kuyatoa kwa nguvu tu,maana bila hivyo viongozi wa africa,wanazifanya serikali kama ofisi zao binafsi,

Lolilopo ni AU,kutayarisha special force unit,ili iwe inadili na viongozi watukutu kama hawa,imefika wakati nasi waafrika tukajijengea utamaduni wa kuwajibishana.

Milosovic kule ulaya,alifuatwa mpaka ikulu kwake akachomolewa,na kufikishwa mahakani,kilichompata kila mtu anajua.Kiongozi akiwa diktteta,tusisubiri mpaka wananchi wapoteze maisha yao,AU ikilizika itoe go ahead jeshi liingie limchomoe tu.Tanzania ina historia hiyo,WAGANDA hawatasahau tulivyo mchomoa IDD AMIN.AU iombe msaada hata umoja wamataifa,USA ILI kikosi maalum kitayarishwe,ombeni msaada hata kutoka SPETSNAZ,MOSSAD,KGB au hata CIA.Jesus christ haya madudu ya viongozi wa afrika yataisha lini
 
Bagbo has never been interested in democracy,to him and his cronies it means continuation of power.
It is high time for africa to do something.
 
Back
Top Bottom