Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAF ya Ardhi University ina ubora wa pekee..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rabi wa Leo, Apr 16, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo Kikuu Ardhi,kwa mwaka wa pili mfululizo sasa,pamoja na facults nyingine nyingi,kinatoa facult ya BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE (BAF) yenye ubora wa pekee kabisa..Ubora huo unatokana na courses zinazopatikana ndani ya faccult hii kama ifuatavyo..
  SEMESTER 1,YEAR 1;
  1.Accounting fundamentals
  2.Communication skills I.
  3.Development perpectives I.
  4.Introduction to ICT and Programming
  5.Introductory Microeconomics
  6.Introductoiy Macroeconomics
  7.Principles of management
  8.Business Mathematics

  Year 1,semester 2;
  1.Development Perspective II.
  2.Information Systems management and security
  3.Business Law
  4.Principles of Accounting I.
  5.Principles of Finance I.
  6.Production and Operations management
  7.Business Statistics
  8.Business communication Skills

  Year 2,semester 1;
  1.Money and Banking
  2.Principles of Accounting II.
  3.Principles of Finance II.
  4.Principles of Taxation
  5.Financial management
  6.Quantitative Methods I.
  7.Econometrics I.
  8.Principles of Marketing

  Year 2,Semester 2.
  1.Business research Methods
  2.Corporate Finance
  3.Cost Accounting
  4.Financial accounting
  5.Accounting and financial Information Systems
  6.Project Planning and financial Analysis
  7.Fundamentals of Real Estate Finance
  8.Portfolio and Fund management
  9.Public Finance and Taxation
  10.INDUSTRIAL TRAINING(I.T)

  Year 3,semester 1;
  1.Auditing
  2.Business values and Ethics
  3.Financial Reporting
  4.Financial accounting II.
  5.Management Accounting
  6.Derivative Securities and Risk management
  7.Financial Markets and Institutions
  8.Investment analysis and Capital Markets
  9.SEMESTER PROJECT

  Year 3,Semester 2;
  1.Auditing and Assurance Services
  2.Financial Accounting III.
  3.Entrepreneurship
  4.International Accounting and Taxation
  5.Asset valuation and Management
  6.Lease financing
  7.Marketing of Financial services
  8.Treasury management...

  Bachelor of Science in Accounting and Finance,Ardhi university inatoa wataalamu mbalimbali wanaoweza kuhudumia katika nyanja mbalimbali kitaifa na kimataifa zikiwemo;
  1.Ukaguzi wa hesabu za serikali,mashirika na sekta mbalimbali za kiuchumi,
  2.watendaji katika mabenki na taasisi mbalimbali za fedha,
  3.washauri wa uchumi,masoko na biashara.
  4.waratibu ktk sekta ya uwekezaji
  5.Watengenezaji wa sera za kiuchumi na kibiashara
  6.wasimamizi na maafisa masoko wa kitaifa na kimataifa.
  7.waratibu katika hazina.
  8.wajasiriamali na waandishi na watungaji wa mipango kazi ya biashara.
  9.Wahasibu na waratibu wa taarifa za fedha
  10.wasimamizi wa rasilimali watu.
  11.wataalamu katika mifumo ya teknolojia ktk biashara NA NYINGINE NYINGI....
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Edit habari yako. Sina hakika kama wanatoa "facult" kama unavotaka tuamini.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,121
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kama sijakosea mzumbe nao wana BAF
  Swali langu linakuja ivi kila mhasibu si anasoma accounts na finance sasa haya mambo ya kubrand course kwa kutumia masomo anayosoma mtu imekaaje?
  Ipo siku watu wa masoko watakuta na BMS IE bachelro of marketing and sales wakti you could simpy say bachelor of marketing same to do with bachelor of accountancy
   
 4. +255

  +255 JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,704
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mbona hamna kipya kwenye hy course! Af sioni tofauti kubwa ya masomo kwa anayesoma BAF na B.Com Acc or FN?!
   
 5. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pata uhakika kwa kuwasiliana na;
  Vice Chancellor Ardhi University,
  P.O BOX 35176,DSM.
  Au kwa simu;
  Direct:2771274,
  General:2775004,
  2772291/2..
  Jipatie pia copy ya Prospectus 2011-2012 mtandaoni...
  Waweza pia kufika pia chuoni kujiridhisha katika hilo..
   
 6. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .
  Kwa sera za elimu popote duniani,kuna haja ya kuuona umuhimu wa courses zote anazosoma mtu katika facult..Masomo anayosoma mtu katika facult yake yanamsaidia kulink ideas zingine mbali na ile core-study...
   
 7. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofauti ni kubwa kuliko unavyoanza kufikiri...Kwanza hii ni "Bachelor of Science".,lakini tofauti kubwa zaidi,heb pitia courses znazopatikana ktk hzo faccult mbili upime..
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,789
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Tatzo mnasoma masomo mengi mno,hvo mtakua shallow mbaya.
   
 9. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 453
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo si hizo content za course,tatizo ni jinsi zinavyomsaidia aliyesoma kupambana na changamoto za kiuchumi,tanzania watu wanasoma course ukisoma content yake utaridhika sana lakini hakuna chochote ni theories tupu mtu hawezeshwi kuunganisha alichofundishwa na mazingira ya kazi,na sera nyingine za ajira ni kandamizi mfano mtu unaambiwa uende na experience ya 5yrs huu ni ujinga kwenye taasisi zetu
   
 10. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOaTE=Senetor;3708156]Tatzo mnasoma masomo mengi mno,hvo mtakua shallow mbaya.[/QUOTE]

  Sidhani kama unaweza kuitetea vema hoja yako...nnachoamini ni kuwa,kila cource ina mambo ya msingi na ya muhimu kwa mwanafunzi...anayejua maana ya elimu atasoma kwa umakini ili afaulu vema,na daima yuko Deep...
   
 11. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiliacha tatizo hilo lijadiliwe kitaifa halitaisha..Unapokuwa Ardhi University,theory ni 25% ya masomo yako,75% inajumuisha consultation,practicing,searching and acquiring..,Sio hapa tu,bt vyuo vingi vinaboresha vitivyo vyao ili vihusishe vitendo zaidi...kwa hiyo jukumu la chuo linakuwa kutengeneza mazingira mazuri ya kusomea na kutendea kazi.,Juu ya kuapply elimu katika maisha,hilo sasa linabaki kuwa jukumu la mtu binafsi..
  Yote tisa,bt BAF YA ARDHI UNIVERSITY si Mchezo...
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bahati mbaya hukunielewa, nadhani ni makosa yangu pia. Swali langu ni Je, Ardhi University wanatoa "Facult of BAF" au wanatoa "Degree of BAF?" mi naamini wanatoa "Degree of BAF" sahihisha Mkuu.
   
 13. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nilisoma undergraduate BAF pale Mzumbe na kwa sasa niko kwenye ajira...Nina ufanisi kwenye kazi,lakini nakiri kuwa kuna courses inabidi nizisome ili mambo yaende...
   
 14. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ...Hili ni eneo unalopaswa kuliweka sawa. Ndilo nililokusudia katika post ya kwanza.
   
 15. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu wa leo,unapokuwa kwenye ajira,hasa katika sekta binafsi ambazo ndizo zinazotuajiri kwa wingi unakutana na changamoto nyingi.,unapaswa kuwa na ufahamu wa kutosha juu ya mambo mbalimbali ili uendelee kuwepo kwenye ajira..Fungua macho uone ushindani mbele,kisha fanya uamuzi wa busara..Soma kwa upana ili utumike kwa mapana...
   
 16. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina shaka niko sawa kabisa.otherwise nikosoe ili nione kosa mkuu...
   
 17. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani kwa mwanafunzi mahiri kutegemea kupata kila kitu kutoka kwa mwalimu wake mwanafunzi apaswi kuwa kama kuku wa broiler yampasa kuwa kama kuku wa kienyeji jiimarishe zaidi kwa kujitafutia zaidi kupitia library na source nyinginezo mbalimbali.
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,789
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  courz gan hzo ambazo hukuzsoma mzumbe na sa hz umeziona ardhi mkuu?
   
 19. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa...ujuzi unaimarika kupitia kujisomea na kutafuta elimu popote.Ni busara pia kwa mwanafunzi kuchagua pahala atakapopata elimu ya kutosha kama Ardhi university,ukiongeza na ujuzi wako unakua more compentate..
   
 20. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisoma pale Bachelor of Accounting Degree-Business Accounting and Finance.,bt pale Ardhi wanatoa Bachelor of Science in Accounting and Finance...Ckusoma courses kibao kama;
  -Money and banking
  -Econometrics
  -Marketing
  -Entrepreneurship
  -Lease Financing
  -Investment analysis
  -Derivative securities and risk management
  -International accounting
  -Treasury managent
  -Portfolio and fund management,
  -Fundamentals of Real Estate Finance..
  na nyngine nyingi..
   
Loading...