Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

hapa amesema uongo mkubwa. huenda hata polisi wanajua kuwa amewadanganya lakini wanamheshimu. blackberry ya 5.5m huo ni uongo. naibu waziri tumekushtukia sema ukweli.
 
Malima hajakosea hasa ikizingatiwa kuwa watu wanaonekana tofauti na walivyo. Huenda naye alikuwa akiwakodisha majambazi hizo zana. Maana ukijiuliza mtu mwenye ulinzi wa bure anabeba midude yote hiyo kuifanyia nini? Tuzidi kudodosa. Kwanini silaha hazikuibiwa? Je Malima anataka kutumia nafasi hii kuzima mali ya umma na kupoteza baadhi ya nyaraka muhimu wizarani? Je aliyemwibia ni changu na si mwizi haswa?
 
[COLOR=#0000cd said:
Hata hivyo, Kaimu Kamanda huyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Morogoro, alisema mwizi aliyeiba vitu hivyo hakuiba bastola na bunduki aina ya SMG alizokuwa nazo Naibu Waziri huyo ambazo zilikuwa sehemu ya wazi[/COLOR].""

Jamani naomba kujua huyu kiongozi silaha zote hizi ni za nini? Je viongozi wanaruhusiwa kuwa na sila za kivita na kutembea nazo kokote? hivi vitu vyote alikuwa anataka kuhama mkoa au nchi?

Naomba kuwasilisha!
Inatakiwa achukuliwe hatua kali za kinidhamu za kunyang'anywa silaha hizo kwa sababu si mwangalifu. silaha sio kitu cha kuweka waziwazi kama alivyofanya. Ni mzembe sana. simu za mkononi mtu anakaa nazo. mwizi alikuwa mmoja au wengi mbona mabegi matatu aliyabebaje? anatudanganya huyu.
 
payback! lakini hii inaonekana kama CCM wanafanyiana ufisadi. huyu mtu kwanini awe na silaha nzito wakati huo? hii inaonyesha kuwa usalama wake uko mashakani....lakini hii haishangazi kuona umafia unaofanyika ndani ya chama hiki kongwe.tutaona mengi sana time will tell.
 
SMG ni silaha inayojulikana kama "assault automatic weapon" ambayo kwa sheria za Tanzania ni vyombo vya majeshi ya serikali tu vinavyoruhusiwa kumiliki. Mtu binafsi huruhusiwi kuwa na "assault weapon". Hivyo tunataka IGP na Waziri wa ndani atupe majibu kamili kama Malima alikuwa na silaha hii kihalali, na huo uhalalishaji wa kumilikishwa "assault weapon" ulitoka wapi.
 
no good reason to actually discuss this. ONE MISTAKE, SEVERAL GOALS! Take care, next time it could be you.
 
Usingizi baada ya mshindo sio rahisi kuamka......Malimaaaaaaa

Hayo mengine ni sanaaa tu....vinasa sauti kawa mwandishi wa habari au mpelelezi?
 
SMG ni silaha inayojulikana kama "assault automatic weapon" ambayo kwa sheria za Tanzania ni vyombo vya majeshi ya serikali tu vinavyoruhusiwa kumiliki. Mtu binafsi huruhusiwi kuwa na "assault weapon". Hivyo tunataka IGP na Waziri wa ndani atupe majibu kamili kama Malima alikuwa na silaha hii kihalali, na huo uhalalishaji wa kumilikishwa "assault weapon" ulitoka wapi.

Inawezekana unayetaka afuatilie ndo aliyempa! Haikuibwa kwa kuwa ilikuwa kazini!
 
Pengine waziri huyu ni mshirika wa ujambazi na silaha alikuwa amewahifadhia vijana wa kazi. $4000 na Tsh 1.5 m mfukoni ni kwa matumizi ya aina gani Morogoro? Au mteja wa meno ya tembo huyu kataka kuwazidi wenzake?
Mpaka polisi waone nyayo nje ya chumba ina maana hoteli ni chafu kiasi gani? Kama hawazungumzii nyanyo ndani ya chumba kitu gani chawahakikishia nyanyo nje ya chumba ni za mwizi? Hapa kuna usanii waendelea.
 
Kama Naibu waziri anatembea na SMG, WAZIRI kamili na waziri mkuu wao wana zipi? Mkulu je? Amazing! Lakini wabunge kuna wakati walikwenda kujifunza shabaha kama sikosei. Isije kuwa ndo walikozitoa. Beside, kampeni za igunga ni uthijbitisho kuwa bunge la sasa ni jeshi.
 
Huyu jamaa mzinzi sana, kilijikunja kutoa ile kitu, basi kilicho fuata ni kukoroma, na kahaba hakufanya kosa kasepa na mamilioni, angekuwa mwizi kitu cha kwanza ingekuwa kuchukua hizo siraha kwanza, hata sura inaonesha kuwa jamaa anaweza kuwa jambazi au na ushirikiano nao
 
Back
Top Bottom