Bado namfeel

Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
M-bongotz omba sana mungu asiligundue hilo mana ni atakuchezea akili mpaka utaiona dunia yote ya zambarau....
 
hv una mapepo? kila nkikusamehe unaanza madudu. cku zako zinahesabika!
hahhahaaaaaaaaaa sikutaka kucheka ila ktk black kumenifanya nikajenga picha ya unavotamka hayo maneno nikaishia kucheka alone
ila muambie ajui tu ulivo almasi mtoto naona hajalijua hilo
 
mhm kweli maji yamezidi unga...sas mie naona isiwe tabu wee mwambie tuu huyo dada kuwa u still feel her and wuld love to taste her again
 
Ulijaribu kutumia mapenzi mapya kusahau mapenzi ya nyuma; it works to some but it doesn't to many!

Kujaribu kumtoa, tafuta vitu vyake vilivyokuwa vinakuboa; capitalize on them, uvifikirie hivyo tu na mwisho utamchukia na hivyo kumfuta akilini!

Duh! this is new to me, watu mnajua janja za fundi anyway i would buy this give it a trial it might work out.
 
Duh! this is new to me, watu mnajua janja za fundi anyway i would buy this give it a trial it might work out.

Hii inatumiwa sana na sisi back then, you love a man; hana feelings nawe (hakutongozi). Njia ya kupona ni kutafuta mapungufu yake then u keep thinking of them peke yake; mwisho wamdelete!

U meet a man, kakupenda u feel nothing, then unatafuta uzuri wake, wacapitalize mwisho unajikuta umempenda!
 
Uliyemuoa alikuwa rebound...ulitakiwa uchukuwe muda wa kutosha inorder to completely heal and then move on.
 
Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
Nyongeza haigombi!
 
kumbuka kiapo chako cha NDOWA
 
pole, mi nadhan yote yashasemwa hapo juu kazi kwako, kama kweli unataka kumdelete huyo ex wako fanyia kaz maneno hayo,
 
kweli upendo huwa unaingia sna ndani ya roho kweli inakuwa ngumu kuamini kama ulishaachana na mwanamke au mpenzi wa siku zile hujaoa leo bado una mkumbuka. sijiu ila mimi nikiacha naacha kweli sikumbuki hata ilikuwaje maana huyo ndiye atavunja ndoa yako punde mkeo akijua unamuwaza mprnzi wako wa zamani
 
Pamoja na ushauri wa Kaunga, unahitaji pia ku-capitalize kwenye uzuri wa mkeo. Angalia mazuri na juhudi zake kufanya maisha yenu yawe na furaha, ambavyo kwa sasa huvipati na huna hakika kama ungalivipata kwa ex wako.
Unahitaji na maombi pia. Kumbuka akili yako ilipoishia ni chini kuliko ya Muumba wako. Muambie Mungu siwezi mwenyewe, nisaidie! Utashangazwa!

Asante sana King'asti kwa ushauri wa busara,ningekuwa kwenye desktop ningekutwangia thanx
 
Back
Top Bottom