bado nalia na charminglady

mamie tatizo nshazoea kujitawala, ka club naenda nakesha mpk asbh, naenda bar nalewa tilalila kama flan wa humu jf na hakuna wa kuniuliza yan kichwa changu ndo serikali yangu. sa iweje nipate mtu wa kuniuliza uko wapi,warud sa ngapi. siwezi mie kiruuuu hebu na anipishie mbali. . . .



Kwa neno hili sasa tunaingia plan B.

 
Wakubwa,wana chitchat, mwenzenu bado nalia na charminglady .Najua ni mateso kupenda usipopendwa,sina budi kusema hili,kiukweli ninateseka sana tena sana na huyu mlimbwende,naomba mtu ambaye yupo karibu naye anisaidie
Nimekuwa na wakati mgumu sana hasa ninapomgusa tu hata kwa salamu anakua mkali sipata ona,kama hamuamini ngoja muone post zake hapa atakavyo nishambulia.Namini Kongosho , FirstLady , cathelin Madame B na wengine mkiingilia kati ntaweza kufanikiwa

Tatizo lako wewe umeanza kutongoza moja kwa moja... we hujui staili za kupata walokole? unaanza mdogo mdogo urafiki wa kalammmmm...... then inaanza kuchomekea kwa mbaaliii huku unapima upepo... lakini kwa staili hiyo anaogopo isije kuwa unataka kuchapa na kusepa vijana haaminiki sana hasa kwa wadada makini kama charminglady FirstLady , cathelin Madame B Erotica na wengineo
 
jamani mie msimamo wangu upo palepale mbona hanielewi? SITAKIII
mkali lakini...jpg
Huwa mnasema hivyo lakini mwishowee....
 
Ndo huna sasa wataman nimezaaa eeeh hahaaa usimchezee chatu oooh chatuu eeeeh gongo usimtupie utaukosa ushind

teh,teh,teh,....we mtukutu sana eeh,sawa bwana,ila siku ndo nimekubaliwa utatafuta pa kujificha
 
utukutu wapi? time is now!! We ulivoona mtu anajina la charming baaasi ukazuzuka kumbe watu ni manasty smts heheheheheheeeeeeeeeee pole yakoooo

hicho kicheko tu dah,umejiachia kwa raha zako kiasi kwamba sie wenye shida ya mapenzi hata hutujar
 
hahaa mkuu Jiwe Linaloishi me nimeshamwambia kuwa naenjoy kuwa single bt ye hata haelewi. . . ctaki stress mie!

hapooooo unakosea shost wamim yan usiseme hapo eti hutaki stress dats mean unahitaji ila waogopa stress aaaah cl vipi teena we hutaki dats final hata kama hapatakuwaa na stress no kwenda au?
 
Last edited by a moderator:
hapooooo unakosea shost wamim yan usiseme hapo eti hutaki stress dats mean unahitaji ila waogopa stress aaaah cl vipi teena we hutaki dats final hata kama hapatakuwaa na stress no kwenda au?

ha,ha,ha,ha.teh,teh.....nimekwambia utatafuta pa kujificha mwaka huu.

dear charminglady i promise you a real love with no stress,please love me
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom