Bado kidogo wanaume wataolewa!

Status
Not open for further replies.

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,672
Ni mtazamo wangu kwa sababu naona vijana wengi wanaokua sasa hivi
wakiwa kwenye mikakati mizito ya jinsi ya kupata mijimama au wanawake
wenye pesa.
1.Ni wavivu
2. Wanatumia muda mwingi kujiremba kama wafanyavyo wanawake.
3.Huthubutu hata kutumia vipodozi vya wanawake.

Siku zinakuja, tutashuhudia Vijana hawa wakiolewa na wanawake... INASIKITISHA!
 
Waolewe mara ngapi? Mbona walishaolewa kitambo!
 
Utafiti wako umeufanya maeneo yepi?
 
Wewe unakaa wapi,uswazi juzi kama masela wawili wamechukuliwa wameshawekwa ndani ala cheza na maisha haya
 
Waolewe mara ngapi? Mbona walishaolewa kitambo!
Ha ha ha haa! Bado mkuu ni dalili tu itafika wakati ndoa zitafungwa na
wanaume watakaa nyumbani huku wanawake wakienda kazini!
 
Wazungu wenzetu ktk lugha yao hakuna neno kuolewa ktk namna kama ya kiswahili!wao ni kuoana!hivyo linaondoa utabaka ktk ndoa!
 
Nimependa huu uzi hasa kwa kitu kimoja, comments za watu hazichoshi kuzisoma maana wanaandika maneno mawili au yakizidi saaana maneno matatu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom