%%%. Bado kidogo nimpige vibao mdogo wangu wa KIKE .%%

Mod mfungue na forum ya watoto...............waimbe mabata madogodogo na kutupiana nyuzi kama hz, too kiddish this is, morover MMU!!!!!!uuuuuuuuuuuuuuuhhhhh​


mbona ni swala la msingi sana kalileta hapa.. We huoni kama anarekebishwa ili aishi vizuri na dada ake..

And its not childish....
 
Blogger bana, kaombe msamaha tu, na umweleze kuwa kama ungekuwa na hela usingeomba, ulikuwa huna, na kama yeye ana uwezo angekupa na sio kuruhusu uombe nauli! Ni PM namba yake dadako, anaonekana dada mwenye msimamo na mchapa kazi..au vipi blogger tuunge undugu bana shemeji yangu!

mh!c mchezo
 
Una miaka mingapi?


QUOTE=blogger;4707597]Cjui MUNGU wao tofauti na wetu..

Tunaishi bado kwa wazazi. ila kuna viajira tumepata mjini...

kilichonifanya kuleta huu uzi hapa ni kashfa alizonipa dogo wangu baada ya kuomba nauli...alisema hivi..
,
wewe(mimi): unaombaje nauli wakati una kazi..

nikajifanya kama sijasikia..

akarudia ....."huwezi omba nauli na una kazi".

nikamwambia mshahara/posho bado....
akajibu.. "huwezi save hela zako"

hapo sasa uvumilivu ulinishinda nikaamua kumpa live... nikamwambia dogo usinnizoee vibaya mie ni mtoto wa kiume...kumbuka kwamba wewe unavyokatiwa mshiko mtaani na wanaume na mie kuna mrembo namkatia mshiko...hivyo basi ni halali mie kuishiwa mapema....nipotezee.

nkaondoka.. ila nilivyo panda gari nafsi ikanisutta kwamba nimekua rude kwa sista. Najiandaa rudi home saiv..

sasa ndugu zangu nikakomae na msimamo wa yeye kutofuatilia maisha yangu.. au niombe msamaha kwa kua rude..

KARIBUNI[/QUOTE]
 
Utoto unamsumbua kwan hela unamuomba yeye? Ungeomba kwake c angekupga makof kabsa. Mwambie mcfuatiliane kila m2 na isue zk
 
Back
Top Bottom