Bado ccm in nafasi kuichagulia staili chadema ya kuingilia ikulu

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Kwa mara nyingi CCM imeshindwa kufanya uchaguzi au maamuzi sahihi ya kuongoza nchi hii, na hivyo hivyo kuonesha kila dalili za kuchokwa na hatimayae kufa. Na nafasi yake inachukuliwa na CHADEMA chama kinachopata umaarufu mkubwa kutokanaa na imani ya Wananchi juu ya Chama hiki.
Licha ya yote hayo CCM bado ina nafasi ya kuichagulia CHADEMA stahili gani iingiliea ikulu au mlango gani iinglie ikulu nazo ni stahili mbili kama ifuatavyo,

1) kama itaendeleza mabavu kama iliyoyafanya na inayoyafanya basi ni dhahiri CHADEMA itaingia ikulu kwastahili ya TUNISIA,LIBYA na MISRI na hii itakuwa na madhara kwa taifa kwa ujumla hata WANACCM wenyewe wataathirika vibaya.

2) kama itaacha mabavu na kutumia demokrasia ya kweli basi itajijengea heshima na CHADEMA wataingia ikulu kidemokrasia huku Taifa likiwa na amani na utulivu kwa faida ya WATANZANIA wote.

Kwasasa CCM itafakari ni jinsi gani ya kuifungulia milango ya Ikulu CHADEMA ili iingie kwa amani kwa kuchagua staili sahihi ya kidemokrasi
a
 
sipati picha pale 2015 CDM watakaposhinda halafu wafanyiwe dhuluma
 
Back
Top Bottom