bado anawasiliana na ex...

Inategemea mliachanaje. NA pia inategemea mnazungumzaje
Ex wengine ni family/ Family friends/colleagues wa kazini etc.
Muhimu ni kuhakikisha the new guy anajua mnawasiliana kivipi

In my book either way is just bad and not healthy for the relationship.
 
kwa nini Ex's wanaonekana kama laana??

Ina maana hakuna mtu anaweza wasialana na Ex bila ngono??

Kuna ajabu gani kuomba ushauri kwa Ex, kwani mtu akishakuwa Ex busara zinaondoka??

Maovu huanzia kichwani, kama ni kwa kuliwa ataliwa hata na bata mzinga.

Mhhhhh... Kongosho,

Ina maana huoni ubaya wowote?

Hivi unajua kwa nini matangazo ya biashara hurudiwa rudiwa kila mara??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea mliachanaje. NA pia inategemea mnazungumzaje
Ex wengine ni family/ Family friends/colleagues wa kazini etc.
Muhimu ni kuhakikisha the new guy anajua mnawasiliana kivipi

Unasemaje Mwali???

Yaani unaweza kufunua mdomo wako na kumweleza mpenzi wako mpya kuwa....unajua sweetheart, naendelea kuwasiliana na my ex kwa sababu ananipa ushauri mzuri wa maisha/biashara???

Sina hakika kama naweza kumeza maneno kama hayo mie!!

May be kwa sababu niliishi enzi zetu za ujima...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, haya mambo hayana wrong wala right.

Ni makubaliano tu ya wewe na huyo mwenza wako.

Shida yangu ni jinsi ya kukubaliana??

Yaani wewe NN, mdawa wako anakukalisha chini na kukupa roadmap yake na ex wake na jinsi watakavyokuwa wanapeana ushauri au inatokeaje hadi mkubaliane??

Just knowing kwamba she had ex BF, kwangu inatosha ingawa ni kibarua kizito zaidi ya kubeba zege la kumwaga jamvi la ghorofa ya 10!!

Hahahaaaa...

Hapana, mimi kwangu huo ujinga ni no-no.

Na kwanza hawezi hata kuthubutu ku-float hiyo idea maana anajua matokeo yake yatakuwaje.

Ila amini usiamini wapo watu ambao kwao ni poa tu.

Unakuta mdada anawasiliana na jamaa yake wa zamani na mkaka naye anawasiliana na makoloni yake ya zamani bila mwenza wake kuwa na tatizo lolote.

Hii dunia hii acha bana. Watu wanafunga ndoa na wacheza picha za ngono sembuse kuwasiliana na ma ex? Hebu jenga taswira tu hata wewe mwenyewe....eti mkeo ni former porn star!

Watu tumeumbwa tofauti sana aisee.
 
Ahsante sana kaka,

Umenikumbusha jamaa yangu tulikuwa wote enzi za shule, alikuwa na msemo wake akiutumia kutueza kuwa...."PEOPLE WE DIFFER"!!!

Kwelii kabisa, watu tunatofautiana!!

Babu DC!!
 
Babu Dark City, kukosa uaminifu kwa mwenza wa sasa hakuhusiani na mie kuwasiliana na EX

Uaminifu uko ni heshima yangu, hata kama sio Ex bado naweza kosa uaminifu vile vile.

Anyway, siwezi wasemea wote, ila kwa mie sioni ubaya wa kuwasialana na EX, labda kama mwenza wa sasa awe 'insecure' hapo naweza niache wasiliana naye.

Hujawahi jikuta kwenye situation ambayo mtu anayeweza kukusaidia ni Ex?
Mhhhhh... Kongosho,

Ina maana huoni ubaya wowote?

Hivi unajua kwa nini matangazo ya biashara hurudiwa rudiwa kila mara??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo pekundu huwa naudhika mtu akisema hivyo

Ngoja niseme kama Kiranga, huo utafiti umefanyika wapi?? Kwa wanawake wa aina gani?? Waliofanya mara ya kwanza na akina nani?? kwenye mazingira gani??

Mtu uanze kufanya ngono kwa kubakwa halafu umuone mtu huyo ukubali kukumbushia??
Au uwe kwenye mahusiano ya kushinikizwa kama mwalimu/mwanafunzi halafu uone mtu huyo utake kukumbushia??

Hata waliofanya kwa hiari sidhani kama wote wanaweza kumbushia.

Pole sana mkuu! huwa si vizuri. Ingawa mi sijui hata machungu ya ex maana tulianzana wote tukiwa wabichi.

Ila nikuambie ukweli kama mwanamke wewe ndo wa kwanza kwake hatokusahau....... Mi mpenzi wangu kuna siku nilimchokoza nikamwambia hivi siku tukiachana na umeshapata mpenzi halafu tukaja onana tena utafanyaje? Na nikikuambia Nimemic mambo yako utafanyaje?

Hehehe! Aibu zikamjaa mara oh usiseme hivyo mpenzi, mi sitaki bhana maneno yako ya kichokozi. Nikambana Akaniambia TUTA.....KUMB....SHI.... Full Aibu na kufunika Uso wake Kifuani kwangu
 
Ha ha ha ha, Babu DC, no comment
Umekataa kwa nguvu zako zote na akili zote.

Babu una moyo wa biskut kwa bibi DC wewe.
 
ni kawaida kweli kuwasiliana na ex wako na kupeana ushauri?

Kama hii imekutokea basi juwa kuwa bado ana uhusiano na huyo jamaa au la yupo na wewe kwa ajili ya kutunzwa (labda una pesa, gari, na una nyumba nzuri). Jamaa yake yupo pembeni kwa ajili ya kumliwaza kitandani na pengine hata kuzaa naye huku wewe ukiliwa double double (demu anaishi nawe na hela zako anatumia na njemba lake la pembeni). Bongo hii imeenea sana siku hizi, mademu hawana mapenzi wameweka tamaa mbele mno.
 
Babu Dark City, kukosa uaminifu kwa mwenza wa sasa hakuhusiani na mie kuwasiliana na EX

Uaminifu uko ni heshima yangu, hata kama sio Ex bado naweza kosa uaminifu vile vile.

Anyway, siwezi wasemea wote, ila kwa mie sioni ubaya wa kuwasialana na EX, labda kama mwenza wa sasa awe 'insecure' hapo naweza niache wasiliana naye.

Hujawahi jikuta kwenye situation ambayo mtu anayeweza kukusaidia ni Ex?

Mdogo wangu Kongosho,

Usisahau kuwa tunaongelea mahusiano ya watu wawili. Kwa hiyo, wewe unaweza kujiamini kwamba haitatokea kamwe kurudia historia na Ex wako. Je, huyo Ex wako atakuwa na imani hiyo? Na mtu wako wa sasa atawaaamini??

To be safe, achana na mambo ya Ex. Kama haikuwezekana kuwa pamoja, basi acha tu!

Na huo msaada lazima atoe Ex wako au wake? Hakuna watu wengine katika dunia hii?? Mie naona kama ni shida basi nife nayo tu....Ex alishaenda na hakuna tena nafasi ya kumwingiza kwenye maisha yangu tena....

Na huyo Bibi DC anaweza kufanya michezo mingine ila nikijua kuwa anawasiliana na Ex wake, basi atakuwa ameporomosha imani yangu kwake kwa karibia 50%, na ukizingatia haijawahi kuwa 100%, sijui atakuwa kabakiza kiasi gani!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, Babu DC, no comment
Umekataa kwa nguvu zako zote na akili zote.

Babu una moyo wa biskut kwa bibi DC wewe.

Vyovyote vile Kongosho,

Mambo mengine ni magumu hata kuyafikiria, sembuse kuyaongelea na kutenda??

Sihitaji BP na Shell mie!

Babu DC!!
 
Hayo mambo ya kuwasiliana na ex mi siyataki hata kuyasikia, kuna wakati flani nilisikia watu wanashauri hakuna ubaya ku comm na ex wako... Nikajitia kihere here kuanza ku respond kwa simu na meseji za my ex .. Baada ya muda mfupi kupita nikaona topic inabadilika anaanza kuongelea kuhusu kukumbushana... Mmmh... Nikasema yasiwe makubwa ikabidi nikate mawasiliano ghafla... ! Heeee...
Hivyo tangu kipindi hicho nimejifunza kutoruhusu mawasiliano na ex maana ni kujitafutia mabalaa tuu...!
 
na mnawasiliana juu ya kitu gani hasa? biashara au kitu tofaut na mapenz mbali na hapo ni wizi mtupu, binafs sitamwelewa mpenz ambae stil ana communication na x wake never!
 
Back
Top Bottom