Bado anautesa moyo wangu huyu JF memba......

Jamani kama mnakumbuka ule uzi wangu wa yule mwana JF anayenikosesha usingizi..Nawaza sijui ni mganga yupi niende........,Eti kanambia ooh nimeoa pls dont follow follow me .....Nikamwambia naomba ka busu ka mbali baada ya hapo sikujui tena...Jibu lake..ooh we dada wa JF usiniletee mabalaa maishani mwangu....sitaki nasema sitaki Ni huyu pekee anayeutesa moyo wangu..Hakuna mwingine chini ya jua zaidi yake .....Msiniseme guys ni mapenzi tu..Sitaki kuwa kama KongoshoWhat i need is a kiss jamani ..Mbona una roho ngumu wewe (.......)Hii msg itamfikia mhusika for the second time..kupitia ubao huu............................xoxoxoxoxoxoxoxo
Yo.......yo..........yo..........Pole sana kimwana....najua unaumia juu ya ogo langu...
Nimeamua kuufungua moyo wangu.......karibu sogea kifuani kwangu,maana nimeona kama nakutesa ma baby...pls
Karibu mpaka chumbani na jisikie uko kwako nyumbani....Ntakulamba kwatoni hadi kisogoni.......ninaimani mimi ndio wako mwandani.......na pls naomba niweke moyoni...
 
kweli na shetani ana nguvu kweli eneo hilo juzi kidogo aniangushe ila neema ya mungu ni kubwa nikashtuka....

...hahahahahahaha...aisee pole sana...huyo muangushaji ashindwe kwa JINA LA YESU.. Smile
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo wakiwa wanacheat ndio wanandoa wote waletee vishawishi mpaka vyumbani mwao kwa lazima?! Tafuteni wakwenu na nyie. . .kama hamwezi basi ibeni wale walio tayari kwenye huo mchezo na sio kulazimisha wasiotaka.

fafanua hapo kwa lazima! kuna mtu huwa anavutwa kamba kweli???
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom