Bado anautesa moyo wangu huyu JF memba......

Jamani kama mnakumbuka ule uzi wangu wa yule mwana JF anayenikosesha usingizi..Nawaza sijui ni mganga yupi niende........,Eti kanambia ooh nimeoa pls dont follow follow me .....Nikamwambia naomba ka busu ka mbali baada ya hapo sikujui tena...Jibu lake..ooh we dada wa JF usiniletee mabalaa maishani mwangu....sitaki nasema sitaki Ni huyu pekee anayeutesa moyo wangu..Hakuna mwingine chini ya jua zaidi yake .....Msiniseme guys ni mapenzi tu..Sitaki kuwa kama KongoshoWhat i need is a kiss jamani ..Mbona una roho ngumu wewe (.......)Hii msg itamfikia mhusika for the second time..kupitia ubao huu............................xoxoxoxoxoxoxoxo

...watu wanachezea bahati eeh
 
Amekwisha kwambia huna nafasi ndani mwake kubaliana na alichokwambia using'ang'nize kumweka akili na moyoni mtu asiyekuwa na habari nawe
 
Lizzy shhsss sema taratibu asisikie...

Huna maana!! Ngoja nikalale zangu. . .

Alafu we Smile nimeona track lako linaitwa sijui Kichefuchefu. . . http://www.youtube.com/watch?v=KqmjKclPlWY&feature=youtube_gdata_player. linahusu nini? Au ndo mambo ya ujawepesi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom