Badilikeni wadada

howardlite

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
234
368
Jaman tubadilike,nani amekwambia wanaume tunataka kuoa wanawake wa aina hii?
Mdada kupost picha tuuuu mchana usiku mara kavaa gauni hili mara wigi lile mara sketi na t-shirt.

Hivi hakuna kitu kizuri cha kupost zaidi ya mapicha picha kwenye fb na whatsapp.
Social media ni network ya maendeleo pia jaman sio kivile kama mnavyoitumia.
A real gentleman will never ever marry a woman who used to post non sense pictures through social media.

Ukipita fb huyu dada yupo ukienda whatsapp yupo twoo yupo,sio mbaya kama kuna la maana unafanya lakini mipicha tuuuu unatuambia jinsi ulivyo
If you need marriage be on the correct position,maintain the status of being a wife you will wonder this secret.

Na wavulana wengine wana tabia ya aina hii,hawa utawaita wanaume kweli?
Unafikiri dada zetu wanapenda labda wanao fanana na wewe?
 
shida gani uloiona hapo?
"Kuna wengine hatupo hivyo"
hapa ulijitoa kwenye kundi la wa waliotajwa hapo juu

ukaendelea "tena ni wife material"
hapa ukajisifia

shida iko hapa but wanaume hawajielewi

licha ya kwamba huna tabia za hovyo hovyo ni wife material lakini hujaolewa

Nilikuwepo
 
Back
Top Bottom