Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,609
- 3,500
Yani wala sipingi.....ndo wale wanaotoa nyoka pangoni tena sio kwa sauti ya uongo!!
Hehehehe....embu nishauri dearest!!!!:couch2:
mmmmhhhh,what you see is what you get,not always but kwa consistency ya huyu VOR,you think about it my dearest.....nimempima angle tofauti,nimemchokoza,in short nimemfahamu kwa kiasi kinachotosha.......chelea chelea....utakuta mwana si wako.....anza tu na urafiki wa kaka na dada......lol,thats if you are SINGLE and you got NOBODY......:coffee: