Badala ya kuzuia maandamano, tunagoma.

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mgomo wa madaktari umeshika kasi kila kona ya nchi hususan katika hospitali kubwa kubwa hapa nchini na zile za mokoa.

Hali hii inaelezwa ni katika kutekeleza lengo la kuandamana ambalo serikali imelipiga marufuku,.

Njia pekee ni kugoma kwani hakuna askari,hakuna mabomu wala virungu.

Pinda ataweza kulitatua hili?
Itakuwa ni kipimo chake kujiwekea historia kabla ya 2015?
 
Baada ya kova kuzuia maandamano kwa kisingizio cha al shabab tunagoma,ndio alternative approach number two.
 
Mgomo ni mchungu lakini mwisho results zitakuwa TAMU,baada ya doctors kupata wanachohitaji!!
 
Back
Top Bottom