Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
waheshimiwa wameamua kujenga gjhorofa Unguja kwa kutumia BILIONI 20
litaukwa linaitwa GHOROFA LA MUUNGANO
as if wakishalijenga hilo ghorofa Zanzibar watayaachia hayo mafuta
wao hawautaki muungano, be if CUF au CCM, deep down they have one thing in common: HAWAUTAKI MUUNGANO na bara ndio wanaoungangania, sasa badala ya kufanya mambo ya maendeleo kule kwenye kisiwa kilibaki kwenye karne ya 2 wameamua kujenga GHOROFA/JENGO la BILIONI 20
Says alot about where priorities zao WATAWALA watawala zilipo...Pemba unemployment inatisha lakini hilo waheshimiwa hawalioni
I wonder hii tenda ya kujenga kama SHADYA KARUME keshachukua au bado, maana yule na familia yake kila tenda na kila open space yao..inluding hiyo ya kujenga JENGO LA MUUNGANO!
Hivi kuna mtu anaweza kunipa breakdown mambo mangapi yanaweza kufanyika Pemba na hizo bilioni 20?
source:daily news la jana jumamosi: SINA LINK