Bad Moods; Una-deal aje?

jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,687
1,780
Natamani tu-share na wewe mwanajamvi,
Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"?
Tupeane xperience!

As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood"
Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine..!
Kila mtu ana vituko vyake akiwa kwenye bad mood..

Wakati mwingine inatishia hata kuvunja mahusiano!!

Kwa xperience yangu binafsi, mara kadhaa nmekuwa
katika mahusiano na watu ambao "wa-moods"..
Aisee, sidhani kama nimewahi kufanikiwa katika
Ku-deal na hawa watu na moods zao.
Case1

"Cheusi alikuwa mtoto mmoja mrembo sana,
tulipokutana ofcz haikuchukua mda tukaanza
mahusiano sababu hatukutaka unafiki kuwa
eti tuzinguane, ali-fall kwangu kama mimi kwake!
Baada ya siku kadhaa tu nikajua ugonjwa wake
Moods!
Niliwahi kujaribu vitu kadhaa ilikumfanya awe sawa,
Majibu ya mtu mwenye bad mood unaweza ukalia...
"Twende kutembea" anajibu "nimechoka"
"Tuchek movie" anajibu "sijisikii"
Hapo ni amelala wala hakuangalii...
Mara kadhaa alipokuwa akianza kuwa hvyo
Naamua kumpa nafasi awe peke yake..
Niliporudi akauliza "kwani nilikwambia nataka space
au nakutaka wewe"
Case 2
"white, ni wa kawaida sana ila just anavutia sana
sijui kwanini.....
ye ndo akiwa kwenye moods, hataki kupokea simu,
Ni kulala tu wala hakipikiki kitu ndani ya nyumba...
Ok utaamua kumuacha labda apoe kwanza,
Utarudi na zawadi, atakuangalia tu...."
Nyakati hazirudi nyuma, kuachana ni uamuzi wa mwisho.
Sio vizuri kumuhukumu mtu kwa upungufu wake,
Kwa maana hiyo ni vizuri kumuelewa na kupata
Namna bora ya ku-deal naye... ndio maana
Nakuja kwenu wanajamvi... Tupeane uzoefu
TUOKOE MAHUSIANO!
 
JG... Umegusia suala la muhimu saaana... For hakuna kitu kinaboa kama uwe na mtu mwenye mood swings za mara kwa mara.... Mwanzoni unaweza hata usigundue kua mpenzi wako ana mood swings, tokana na the fact kua mapenzi yanakua yametawala na huoni mabaya but mazuri tu ya huyo mpenzi wako... But with time unagundua... unavumilia... some times mpaka inaanza ku strain relationship. Mara nyingi mood swings tumejaliwa nazo wanawake (wanaume ni nadra)... ila mbaya tu ni kua wengine ni kweli wana mood swings za ovyo na mara kwa mara (huyu kazi kweli kumuweka sawa ) na kuna yule ambae anafanya makusudi just to seek attention - yaani inakua kama a way ya kudeka.

However wadada/mama wengi hua hatuelewi kwamba hakuna kitu straining na hufifisha Mapenzi kama mood swings za mara kwa mara... For via experiences na observation nime notice kua wakaka/baba weeengi hii tabia huwaboa; na ni lalamiko la wengi... for nafikiri inafika a time hata yeye anachoka kubembeleza na kukujaribu kukufurahisha.... Ila bana ukiwa na balaa ya kukutana na mwanaume mwenye mood swings za mara kwa mara... sawa na kua na a baby.... kuweza mtreat/mhandle arudi hali yake...

Hivo basi kuweza okoa mahusiano hizo moods zikiwa kama sababu... ni vizuri kuzungumzia kukerwa kwa hio tabia kwa mhusika hasa pale ambapo woote mna furaha na mwaweza sikilizana. Akiwa in a mood umwambie hupendi ndo unawasha moto zaidi....

Lakini at the end of the day it pays kujua weaknesses na strength za Mpenzi wako - ukijua hivo daima utajua ni jinsi gani ya kumuingia akiwa na huzuni ama furaha....
 
The only way ya kudeal na watu wa aina hiyo ni kuwapa space, thou wataona kama umewadharau kwa kitendo hicho, ila utakuwa umeepusha mengi, i once been in a relationship na mtu wa aina hiyo, huwezi amini nikaona kama anachukua nafasi yangu kama mwanamke na mimi kuwa mwanamme, coz akinuna mie nibembeleze, akisikia njaa anakuwa n hasira, yaani huwezi kujua kila siku atafanya nini
 
la mbaya tu ni kua wengine ni kweli wana mood swings za ovyo na mara kwa mara (huyu kazi kweli kumuweka sawa ) na kuna yule ambae anafanya makusudi just to seek attention - yaani inakua kama a way ya kudeka.

deko lazima uwe umelikaribisha mwenyewe........na yeye akigundua huo udhaifu wako basi ujue umekwama...........
 
Inapotokea mtu yupo kwenye bad mood jaribu kuangalia tatizo nini hadi awe hvyo. Kama umehusika, jaribu kubembeleza japo kidogo. Kama ndio madeko bora usiyaendekeze,
 
JG... Umegusia suala la muhimu saaana... For hakuna kitu kinaboa kama uwe na mtu mwenye mood swings za mara kwa mara.... Mwanzoni unaweza hata usigundue kua mpenzi wako ana mood swings, tokana na the fact kua mapenzi yanakua yametawala na huoni mabaya but mazuri tu ya huyo mpenzi wako... But with time unagundua... unavumilia... some times mpaka inaanza ku strain relationship. Mara nyingi mood swings tumejaliwa nazo wanawake (wanaume ni nadra)... ila mbaya tu ni kua wengine ni kweli wana mood swings za ovyo na mara kwa mara (huyu kazi kweli kumuweka sawa ) na kuna yule ambae anafanya makusudi just to seek attention - yaani inakua kama a way ya kudeka.

However wadada/mama wengi hua hatuelewi kwamba hakuna kitu straining na hufifisha Mapenzi kama mood swings za mara kwa mara... For via experiences na observation nime notice kua wakaka/baba weeengi hii tabia huwaboa; na ni lalamiko la wengi... for nafikiri inafika a time hata yeye anachoka kubembeleza na kukujaribu kukufurahisha.... Ila bana ukiwa na balaa ya kukutana na mwanaume mwenye mood swings za mara kwa mara... sawa na kua na a baby.... kuweza mtreat/mhandle arudi hali yake...

Hivo basi kuweza okoa mahusiano hizo moods zikiwa kama sababu... ni vizuri kuzungumzia kukerwa kwa hio tabia kwa mhusika hasa pale ambapo woote mna furaha na mwaweza sikilizana. Akiwa in a mood umwambie hupendi ndo unawasha moto zaidi....

Lakini at the end of the day it pays kujua weaknesses na strength za Mpenzi wako - ukijua hivo daima utajua ni jinsi gani ya kumuingia akiwa na huzuni ama furaha....

Point mbili nimezipenda hapa.....
Kuna kudeka na kutaka attention!
Ahsante Adii
 
The only way ya kudeal na watu wa aina hiyo ni kuwapa space, thou wataona kama umewadharau kwa kitendo hicho, ila utakuwa umeepusha mengi, i once been in a relationship na mtu wa aina hiyo, huwezi amini nikaona kama anachukua nafasi yangu kama mwanamke na mimi kuwa mwanamme, coz akinuna mie nibembeleze, akisikia njaa anakuwa n hasira, yaani huwezi kujua kila siku atafanya nini

Aisee, yaani sasa yako ilikuwa kali zaidi shosti...
Ni poa sana kama tukajua kuwa-handle hawa watu sababu,
Next time mtu wa maisha yako akiwa hivyo hauna pa kukimbilia rather just face it!
Nadhani Adii ametoa data nzuri sana
 
Inapotokea mtu yupo kwenye bad mood jaribu kuangalia tatizo nini hadi awe hvyo. Kama umehusika, jaribu kubembeleza japo kidogo. Kama ndio madeko bora usiyaendekeze,

Umesomeka Husninyo.....!
Ila mara nyingi hata ukiuliza sababu au tatizo hamnaga jipya sana,
Utajibiwa tu "hamna kitu, nipo poa" wakati unaona sio poa hapo....
Hii ni kudeka tu na kutaka attention
 
Inapotokea mtu yupo kwenye bad mood jaribu kuangalia tatizo nini hadi awe hvyo. Kama umehusika, jaribu kubembeleza japo kidogo. Kama ndio madeko bora usiyaendekeze,
<br />
<br />
Huwa wananiboa sana wale wakongwe wa kudeka
utasikia leo naumwa
oh leo sijisikii kupika
nimechoka
kwa vip?
Khaaaaaaa!!!
 
kiukweli most bad moods zinasababishwa na kudeka
mwanamke anadeka na kukujibu anavyojisikia akijua hutafanya lolote kisa unampenda
this is foolishness!

Hapo ni kuwa serious through telling the truth to each other, ukijifanya unaogopa kumuudhi ukimwambia ukweli itakuwa imekula kwako.
 
Hakuna mtu anae penda mood swings, hata muhusika mwenyewe. Dawa ni kumwacha tu peke yake kwa muda. Mr Boss, kama yuko in bad mood all the time maana yake umwache all the times coz haina maana kuharibu siku yako ukisubiri mtu kama wewe awe tayari kufurahia presence yako wakatu kuna wengine wengi wanakuchangamkia.
Just give them some space and all will be fine. Kuna wakati wanataka waombe hiyo space ila na wenyewe wanafikiri watu watawaona wanadeka, wanajivuna etc, so wanachuna tu.
 
Hapo pia mtu unampa-space ukirudi linaanza zengwe jingine
"Unani-avoid?" "u cant be there for me!!"
Ila kuna ukweli fulani kwamba baadhi wanafanya ili kudeka,
Pia kutaka attention... kama ndio basi si sahihi kumuendekeza mwenza,
Kwenye kila anachokitaka.
 
kiukweli most bad moods zinasababishwa na kudeka
mwanamke anadeka na kukujibu anavyojisikia akijua hutafanya lolote kisa unampenda
this is foolishness!

Hapo ni kuwa serious through telling the truth to each other, ukijifanya unaogopa kumuudhi ukimwambia ukweli itakuwa imekula kwako.

FB, basi kama ni hivyo inabidi tutoe azimio la kutokudekeza !
Mmmh najaribu kujenga picha ya mapenzi bila kudekezana... hahaha lol
 
Back
Top Bottom